Recent content by samweli agustino

  1. S

    JamiiForums Tanzania Udongo wa kupandia miche (planting medium)

    Udongo wa kupandia mnauzaje
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

    akijibu hili ndo tutajua analeta masihara au uelewa wake ni finyu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Udongo wa kupandia miche (planting medium)

    udongo wa kupandia mnauza kwa kilo? je ni sh ngapi?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu open university

    mwenye link ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga open university of TZ kwa ngazi ya shahada ya kwanza atupie humu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu open university

    naomba unichekie jina langu ni samweli agustino kumalija kozi ni bachelor of law
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza mbolea za Yara

    mtoa mada zichambue vizuri hizio mbolea ulizopost. ukijikita kwenye virutubisho vilivyomo ktk kila mbolea, asilimia na bei. ili tujue zinautofauti gani na urea CAN DAP NPK MAP ukifanya hivyo watu watajaa dukani kwenu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kituo cha kurudia mtihani kidato cha sita kwa Dar

    wanafunzi wa azania wanapataje mimba?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Advance History Syllabus

    tembelea shule yoyote ya A level yenye michepuo ya sanaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Joining instructions

    mpaka anashindwa kuuliza akaeleweka
  10. S

    JamiiForums Tanzania DK.Hongo Kahitila: Ningependa mpaka nafariki Mimi niwe namuona Magufuli madarakani

    itategemea ataishi miaka mingapi ijayo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

    mtoto wa kike anatumia gharama kubwa sana mpaka kuolewa. kwa mfano kibaiolojia mtoto wa kike atahitaji ela ya ziada kipindi cha kubalehe na mzazi makini lazima ataziweka hizo gharama kwenye mahari
  12. S

    JamiiForums Tanzania Joining instructions

    mtoa mada acha pupa na uulize kama mtu mwenye akili timamu ili usaidiwe
  13. S

    JamiiForums Tanzania Iraq itasimama tena

    elimu yako ya kichawi inakuchanganya Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Iraq itasimama tena

    mtoa mada acha ndoto za mchana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    mtoa mada ni mshamba sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom