mkai msangi
Member
- Feb 6, 2017
- 49
- 17
Hivi mtu akutaka kusoma open anafanyaje?
Mkuu msaada please...hivi na students direct cost inajumuishwa kwenye malipo ukiachana na ada? Open universityOPen wametoa jana majina jina lako nani na umeomba kozi gani
Majina Open university yamekwishatoka mkuuNilitumiwa email from open university kwamba wamenichagua kujiunga hapo ila wakasema ni provision letter na majina wao mpka sasa hawajatoa nifanyaje wadau ??
Student direct cost haijumuishwi kwenye ada hizo ni cost za mwanafunzi mwenyewe. Ikiwa kuna mtu anamfadhili huo ni mwongozo wa gharama za mwanafunzi mwenyeweMkuu msaada please...hivi na students direct cost inajumuishwa kwenye malipo ukiachana na ada? Open university View attachment 605018pls see attachment
Kwahiyo inamana hzo cost ni lazima mwanafunz ata zi incur ktk kipind chake chote cha masomo?Student direct cost haijumuishwi kwenye ada hizo ni cost za mwanafunzi mwenyewe. Ikiwa kuna mtu anamfadhili huo ni mwongozo wa gharama za mwanafunzi mwenyewe
naomba unichekie jina langu ni samweli agustino kumalija kozi ni bachelor of lawTaja jina lako na kozi