Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

King mzima wewe,
Asante kwa kuniita. Mtindo wa kilimo hiki ni mzuri sana kama utakuwa umefanya vizuri soil analysis, uchaguzi sahihi wa zao sawa na soko lako, soko la uhakika na ushauri wa kitalaam. Usijenge kienyeji maana itakula kwako. Nitarudi

Mkuu tunasubiria ujuzi wako.
 
Sawa mkuu asante mimi nataka hiyo ya 50 kwa 50

Au basi tufanye 30 *12 iwe mara mbili au tatu katika eneo moja

"Tecno Whatever "
Kama una mtaji mdogo na huna soko la uhakika ninakushauri anza na drip irrigation badala ya green house.Yana tofautiana kwa kiwango cha gharama na kiwango cha uzalishaji unachokitaka.Kama eneo lako ni dogo mno green house ni nzuri zaidi.Drip irrigation itachukua eneo kubwa kwa gharama ndogo za vifaa ila itakulazimu kupambana na wadudu waharibifu.
Green house hutahitaji viatilfu.

Unalenga nini? uzalishaji mkubwa au kuepuka viatilifu? Kama upo jirani na SUA wafuate watakupa nadharia za vyote viwili shida yao hawapo vizuri hata kidogo kwenye vitendo.Watafute wakulima halisi wanaojishughulisha kutumia njia zote mbili utajifunza kwa faida kubwa zaidi.Usianze kabla ya kujifunza.Hongera kwa mawazo mazuri upo hatua nyingi kuyafikia mafanikio yako.
 
Wakuu heshima kwenu.

Kuna jambo nataka kujifunza juu ya kilimo hichi kwa bahati mbaya sehemu niliyopo siwezi kupata data za kuniwezesha kujua abc za kilimo hiki.

Naamini huku nitapata elimu tosha juu ya gharama zake, changamoto, masoko, uhifadhi, mazingira ya aina gani yanafaa kwa kilimo hiki, kwa mwaka unaweza kupanda mara ngapi?

Madhara yanayoweza kusababishwa na kilimo hichi kwa afya ya binadamu

Ni aina ipi ya mboga/matunda /zinaweza kupandwa?

Natanguliza shukrani...
84421fe57e7c488c3a44021e1830fcf4.jpg
Habari naomba kumpata mtaalamu humu wa Greenhouse
 
Habari naomba kumpata mtaalamu humu wa Greenhouse
Yaap its good mimi nimekuwa nikifuatilia greenhouse farming kwa muda mrefu nilishafika hatua ya kuanza ku install kuna ideas nimepata toka SUA wataalamu wa Horticulture wanasema GH huwa hazina ufanisi katika maeneo ambayo yako chini ya mita 1,500 toka usawa wa Bahari.
Kwa hiyo maeneo yote ya dsm, Mombassa, na pwani GH haziko efficient sana
Lakini jamaa walienda mbali zaidi kudadavua kwamba hata kama utajenga GH ktk maeneo hayo design ambayo iko friendly na ile ya mapaa mawili yanayopishana ambayo ita ensure ventilation ya hali ya juu. Hata hiyo wanasema wakati wa joto kali plants zinakuwa stressed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa kitabu kinapatikana kikiwa kimesheheni mambo mbalimbali kama ;
- Maana ya Greenhouse
-Tofauti ya Greenhouse na Net house
-Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kujenga greenhouse/net house
-Vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa kusanifu jengo la greenhouse/net house
-umuhimu wa greenhouse/net house
-umwagiliaji wa matone
-faida za umwagiliaji wa matone
-Faida za kiuchumi /utajiri unaopatikana ndani ya greenhouse /net house
Na mambo mengine mbalimbali
Gharama ya kitabu ni Tsh 20,000/=

TUWASILIANE ILI KUJIPATIA KITABU HIKI.

0784999995.

0654768400.

0763208043.

7b9a02b5d96d5984c49bf1089be818c7.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unalima nini kwenye greenhouse net house yako mkuu? maendeleo yako kwenye kilimo cha greenhouse unaweza kutudadafulia kwa juu juu ?
 
unalima nini kwenye greenhouse net house yako mkuu? maendeleo yako kwenye kilimo cha greenhouse unaweza kutudadafulia kwa juu juu ?

Hajasema kuwa anayo ila amefunzwa nadharia na sasa anaiuza hii nadharia. Ni mbunifu mzuri ila tuliokwisha iweka kwenye vitendo tunakuomba, fanya kwa vitendo kwanza halafu uweke shamba darasa. Hizi nadharia utawafanya watu wafilisike
 
Nadharia zipo za kutosha kila mahali ......tuuzie ujuzi kutoka katika shamba darasa ndani ya Greenhouse yako ambayo unatenda yaliyomo ndani ya kitabu chako!
 
Yaap its good mimi nimekuwa nikifuatilia greenhouse farming kwa muda mrefu nilishafika hatua ya kuanza ku install kuna ideas nimepata toka SUA wataalamu wa Horticulture wanasema GH huwa hazina ufanisi katika maeneo ambayo yako chini ya mita 1,500 toka usawa wa Bahari.
Kwa hiyo maeneo yote ya dsm, Mombassa, na pwani GH haziko efficient sana
Lakini jamaa walienda mbali zaidi kudadavua kwamba hata kama utajenga GH ktk maeneo hayo design ambayo iko friendly na ile ya mapaa mawili yanayopishana ambayo ita ensure ventilation ya hali ya juu. Hata hiyo wanasema wakati wa joto kali plants zinakuwa stressed

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna yakufunga mfumo wakupunguza joto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom