Recent content by samtot

  1. samtot

    JamiiForums Tanzania Ni tetesi gani zilivuma sana miaka ya nyuma lakini hazikuwa za kweli?

    Mitaa niliyoishi enzi hizo kulikuwa na stori ya vibwengo, kwamba ukipita usiku kuanzia saa 2 usipowasalimia utakoma. Wana wewe watakupiga hawakuachi. Na pia vifuu vinavyocheza ngoma unaweza kukutana navyo usiku
  2. samtot

    JamiiForums Tanzania Ni tetesi gani zilivuma sana miaka ya nyuma lakini hazikuwa za kweli?

    Mwaka 2000 kungetokea vita kubwa sana dunia nzima, na huo ndo utakuwa mwisho wa maisha ya duniani
  3. samtot

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Shilingi Milioni 30 taslimu ukiwa una Uwanja ukikomaa huwezi Kujenga nyumba yako ndogo tu nzuri ya vyumba vitatu na iliyokamilika kila kitu?

    Inategemea unataka kujenga nyumba ya hadhi gani. Kama ya kawaida tu za uswahilini inatosha. Ila ushuani hiyo ni ndogo sana haimalizi
  4. samtot

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

    Siyo poa. Pole sana mzee wetu Jaji Joseph Sinde Warioba
  5. samtot

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Family matters, huyu ni Steve kama sijakosea
  6. samtot

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vituo vya Mafuta haviuzi mafuta siku moja kabla ya bei mpya ya kila Mwezi

    Inatokea sana hata huku kwetu, inachukua hata siku 5 bila mafuta wilaya nzima
  7. samtot

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Queen seondeok
  8. samtot

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Usione mtu anaongea peke yake ukamcheka. Subiri siku yako inakuja
  9. samtot

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Wanatakaje kutufanyia maamuzi, ya kwao mbona yanawashinda kusolve
Back
Top Bottom