Recent content by Samtin Peter

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Jamani SMe ina shida gani? Tangu jana nashindwa kutumia GB zangu duuh... Na menu haifunguki kabisa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kupooza kwa uso upande mmoja huenda kusipone ukichelewa kupata matibau bell`s palsy

    Sorry umepona?... Nna hilo tatizo naomba unisaidie njia ulizotumia linanitesa sana (kama umepona).
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maelezo

    Naomba kuuliza ndugu.. Hivi ukiwa unatumia WhatsApp number ya mtandao wa simu wa Tanzania labda tigo au voda alafu ukasafiri kwenda nchini Afrika kusini.. Je utakuwa na uwezo wa kutumia namba ileile katika WhatsApp ukiwa nchini Afrika kusini?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maelezo

    Naomba kuuliza ndugu.. Hivi ukiwa unatumia WhatsApp number ya mtandao wa simu wa Tanzania labda tigo au voda alafu ukasafiri kwenda nchini Afrika kusini.. Je utakuwa na uwezo wa kutumia namba ileile katika WhatsApp ukiwa nchini Afrika kusini?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Habari Naomba kuuliza hivi kwa kutumia usafiri wa ndege inachukua muda gani kutok Dar es salaam mpak Kigali-Rwanda? Na ni ndege zip zina root hyo

    Habari Naomba kuuliza hivi kwa kutumia usafiri wa ndege inachukua muda gani kutok Dar es salaam mpak Kigali-Rwanda? Na ni ndege zip zina root hyo
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mpenzi wangu ana govi

    hahahaha mbavu zangu miee
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani nimekuchoka

    mmh.. kazi ipo.. :-X
  8. S

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    yan mm siamini kabisaaaa maana kila cku tunarushwa tarehe tu mm hata wakisema lin caminiiiiii
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nani ana fans wengi humu?

    kazi mnayo
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya sikuhizi, naombeni majibu

    Mimi nauliza kwanini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa, pia kwanini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

    yani inabidi wabadilishe tu hao waschana maana kinakoelekea watakuja na pichu kwenye kipindi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini?

    kazi kwelikweli..!! :-)
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani ya week moja ya mahusiano kanitambulisha kwao

    hahaahaahaaa...!!! ila kweli
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi leo zimejaa migogoro?

    mhmm ila kweli....
Back
Top Bottom