Recent content by Samtee

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Alizeti kwa bei ya jumla

    Najaribu kukucheki dm sikuoati nicheki
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wanunuzi wa Mbegu za Alizeti

    Najaribu kukudm sikupati. Nicheki
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya alizeti

    Habari Aise naombeni kujua bei ya alizeti. Tafadhalini
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira online

    Acha tuu na wamejua tunashida story ni mbaya sana aisee.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Safari za nje ya nchi

    Sasa kama umefata bango, huna story yoyote kwa nini usibamizwe
  8. S

    JamiiForums Tanzania The truth for youths about Forex business

    Eti utapata mtu kachukua mkopo wa kutrade au ndo those saved coins za kujiendeleza
  9. S

    JamiiForums Tanzania The truth for youths about Forex business

    Do brokers really loose money when a trader wins in the market or it depends with the type of a broker?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Safari za nje ya nchi

    Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia. Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo watakao tokea kukusaidia ni wachache. Nyakati zimebadika njia rahisi ya kwenda nje ni either utalii...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Njia rahisi nikwenda kwa ajili ya masomo. Wacheki wale jamaa tafuta cheapest course ukifika uko unatafuta na kazi. Vinginevo utasota sana ukisubiri kusaidiwa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    Script kali hii, aya siuondoke basi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Kumbe watu mnaenda mpka kwa waganga na hamsemi kulaleki
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe biashara ya mahindi mabichi inalipa na wadau mmekaa kimya hamsemi

    Jichanganye uenjoy
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu website ya biashara ya utalii

    Info zinauzwa hizo kuna full detailed document nikuuzie?
Back
Top Bottom