Recent content by samson myombo

  1. samson myombo

    BUNDI ANAUZWA

    haha waje basi wawaondoe mtaan kwetu maana wazingua
  2. samson myombo

    BUNDI ANAUZWA

    ..kwa wale wanaojua mahali naweza uza bundi wanieleweshe nimpeleke
  3. samson myombo

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Tayar Waliajiri watumishi 100 afya
  4. samson myombo

    Ziko wapi ajira 70,000 za kairuki?

    Mtaajiriwa mwaka wa fedha!!!!![emoji4][emoji4]
  5. samson myombo

    Waziri Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wamewafukuza kazi waajiriwa wapya 3000 walioajiriwa Juni 2016

    KUWA NA UVUMILIVU KIJANA MAANA INAONYESHA UMESUBIRI SANA SASA HIZI NI KAMA G ar ZAKUCHOKONOA UJUWE NN KITATOKEA....SASA USHAURI WANGU KWAKO N IVIII.....ATA SS TUNASUBIRIA NA TUNAVUMILIA IVOIVO, nishapata misemo mingi sana kitaa kwamba, mvumilivu hula mbivu!!!! Kweli kama ni mbivu nimezila saaana2
  6. samson myombo

    Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

    Afanye na uhakiki wa kazi zake maana atajikuta na yy ni jipu kwa uongo wake
  7. samson myombo

    Tatizo la Rais Magufuli ni hili

    Jumbe hizi zimfikie basi
  8. samson myombo

    OMBI KWA MH RAISI

    Hahahahahahaha. Aya bhanaa...c twasubli tu
  9. samson myombo

    Natafuta kijana wa kusimamia car wash na baa

    Hiyo c nauli tu ama???
  10. samson myombo

    OMBI KWA MH RAISI

    MAGUFULI TOA AJIRA, vijana wanaumia,,,uliahidi miezi miwili,BADO TU??? sasa hivi kla mtu kilio chake kipo kwenye rizki,kwani kuzipata imekuwa mtiti!!! Kweli kazi nzuri unafanya lakini suala la kutoa ajira limekuwa ni FUMBO KWETU,,,tena unasemaga "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU" sasa tuambie...
  11. samson myombo

    Waziri mkuu Majaliwa: Serikali kuanza kulipa malimbikizo ya watumishi na kutoa ajira mpya

    BORA KIKWETE ANGE ENDELEA KIDOGO MAANA KILA KUKICHA BORA YA JANA..
  12. samson myombo

    Waziri Angela Kairuki adai baada ya kuhakiki vyeti, atahakiki pensheni kwa wastaafu serikalini

    RAISI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI TUNAKUOMBA URUUSU AJIRA MAANA UHAKIKI NI ENDELEVU sasa kwanini uhakiki uwe sababu kuu yakutuweka nyumbani!!!! Hapa kazi tu........kazi hamna
  13. samson myombo

    Waziri Angela Kairuki adai baada ya kuhakiki vyeti, atahakiki pensheni kwa wastaafu serikalini

    HIvI KWANI, NINI KITAHARIBIKA ENDAPO WATARUUSU MAMBO MENGINE YAENDELEE HUKU NAWAO WAKIENDELEA NA UHAKIKI WAO!?? Tunaumia sisi ambao tunakaa tu kusubiria ajira huku tukitazamia uhakiki unaisha kumbe ndio unaanza!! Namuuliza RAISI ALIYEAHIDI KAZI,,,,, NA SERA YA HAPA KAZI TU!! HUKU vijana wengi...
  14. samson myombo

    Kutana na vichaa wenye mapenzi motomoto mpaka kupeana mimba mtaani

    Y aquired and then not inherited??? Go and review about mental health....among of function mental illnes iz inheritenc..!! But if organic it cant
Back
Top Bottom