samson myombo
Member
- Nov 9, 2015
- 24
- 14
NIRAISI KULIPUKA
Ww hujatumia samsung flagship kama s7 ndo utajua utamu wa simuiphone 6 plus,inanikosha kwenye security TCRA hawawezi kunidukua kizembe,charge hadi nasahau,durability,speed,voice quality,facetime,super camera,...n.k yani hauwezi kunishawishi kuwa kuna simu nzuri zaidi ya iphone.
Hapana Mkuu,Kapyunga.
Humu jamii forum natumia Kompyuta Mpakato na siyo simu.

Lete maufundi mkuu. Unafanyaje ili iwe inakaa Na chargeHujaijulia tu ila siku ukiijulia inakaa na chaji zaid ya simu yoyote ile
J6Galaxy gan
Ni nyepesi kama Microsoft lumia 650 au?Natumia s6 edge ni slm, kidogo kuhandle na chepesi mfukoni. Pia nikiingia geto kwangu ni rahisi kuunga na vifaa navyotumia kama Tv, home theatre na hata kingamuzi coz karbia vyote ni Samsung na ninaweza kuvicontrol kwa simu tu.
Njoo Windows Phone au iPhoneNiende wap mimi blackberry lover