samson myombo
Member
- Nov 9, 2015
- 24
- 14
..kwa wale wanaojua mahali naweza uza bundi wanieleweshe nimpeleke
haha waje basi wawaondoe mtaan kwetu maana wazinguaMkuu jiandae 30 years or above imprisonment unauza nyara ya serikali tena ikiwa hai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku kucha wanaimba tu na ile sauti yao nzito tukutuku bwiii mmmhmmmhaha waje basi wawaondoe mtaan kwetu maana wazingua
dogo usichezee maisha yako, hilo libundi litakipa mkosi wa kula mvua za kutosha tu.haha waje basi wawaondoe mtaan kwetu maana wazingua