Recent content by SAMORE

  1. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa ambazo wanaume wametafutiwa wake na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zao, zinadumu zaidi ?

    ndoa yangu ina miaka mi4 na tumebarikiwa binti wa miaka mi3..Mwanamke nilimpata kwa utashi wangu pasi na kuchaguliwa na mtu
  2. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    bora ujenge mwenyewe kununua nyumba ni sawa na kubet.unaweza kujikuta umenunua mauzauza
  3. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

    bora anyee debe itakuà ahueni kwake kwamba ana uhai hawa wapuuzi wanampoteza kabsa
  4. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

    kuna sehemu niliandika huyu mzee wetu tunaweza tusivuke nae mwaka maana alikua anapiga spana sana tangu aachiwe,huenda wahuni washafanya yao Mungu
  5. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki Yamaha 300k

    document zote zipo?
  6. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

    huyu hawawezi kumuachia mapema.kitendo cha kumuachia ni sawa na kutia utambi wa moto kwenye petrol
  7. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

    hii challenge tiktok imefanywa na watu wengi sana aisee
  8. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    na nmetokea njia iyo sasa hv kuelekea goms sijaona msafara
  9. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Kuna App ya Bank yenye Usumbufu kama ya CRDB kwa sasa?

    mimi nmeacha kutumia hii bank inakaribia mwaka sasa akiba yangu naweka nmb hao wana makato makubwa aisee
  10. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

    wanaitwa masalange sio mawinga
  11. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    mimi nishafumwa sio mara moja wala mbili ila kesi huwa inapinduliwa kwamba nani alimtuma kupekua simu yangu.kabla sijamuoa nilimpa darasa juu ya simu kuvunja ndoa
  12. SAMORE

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    GUSA GUSA BAND
  13. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Ndugu kwa hapa dar es salaam GOMS ndo wapi? Iko maeneo gan? Ni wilaya au mtaa au Kijiji? Au ni behewa la TREN ?

    kuna sehemu nyingine inaitwa chaks means chanika
  14. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Unajamba mara ngapi kwa siku?

    mimi najamba kila pale kijambio kinapotaka kujamba so huwa sina time ya kuhesabu
  15. SAMORE

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

    oya ukipata connection niunge nami nshachoka na maisha baada ya dhiki faraja
Back
Top Bottom