Recent content by Samora lasway

  1. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Mzee kuna jambo la ziada unalifahamu hapa ambalo wengi kama sio wote hatulifahamu, nadhani unatakiwa uandike zaidi
  2. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

    Kwani muuliza swali aliuliza juu ya mtu aliefanya ngono na mtu mwenye UKIMWI au VVU?
  3. Samora lasway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Prof. Lumumba stay away from Tanzania politics

    Na ww kama nani, hujui na yeye anao Uhuru wake kama Lumumba alivyonao?
  4. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Hawezi kukudanganya buana, mbona ameokoka na kubatizwa kabisa? Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
  5. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupika popcorn za sukari

    Poa Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
  6. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupika popcorn za sukari

    Bado sijaelewa
  7. Samora lasway

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MUSEVENI: Uganda territory extends up to Nakuru, Mzee Kenyatta grabbed our land

    Jokingly
  8. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kiongozi iyo laki 3 ukiwa nayo hapo mjini daslamu na ukaamua kufanya biashara ya mkaa kwa kumuuzia Mteja wa mwisho yaani mtumiaji, sii haba unaweza ukapiga hatua kadhaa mbele, tena zaidi ukute unafahamiana na madereva wa malory ili wakusafirishie from kijijin mfn koromije wewe uwe ni kupokea na...
  9. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu waonee huruma watanzania hawa wanyonge

    Huna akili kabisa, hata uko kazini utakua ni mzigo tuu, unashukuru nn sasa, elimu yako, ada yako nchi yako alafu unakuwa na akili za kibashite, Kwann lakini? Nakufananisha na yule Mkuu wa mkoa wa morogoro alielia kama yatima kisa kaukosa ukuu wa mkoa, mazuzu npo wengi
  10. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

    Mbona serikali nayo inatuhumu bila ushahidi Mara nyingi tuu?
  11. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Ivyo ivyo hadi ajue utu ni nn
  12. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kubadilishiwa ATM

    Acha ujunga wewe, tangu lini ATM ya crdb ikatoa 1 million once? Acha wakuibie tena na tena na tana
  13. Samora lasway

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Yaliyojiri kesi ya Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio. Shahidi wa Jamhuri aweweseka

    Maskini askar wetu wanapewa kazi nzito sana adi nahisi wanakosa usingizi, unaanzaje kutoa ushahidi mahakaman dhidi ya MTU kama lisu?
Back
Top Bottom