Wizi wa kubadilishiwa ATM

Wizi wa kubadilishiwa ATM

Wizi wa aina hiyo kwenye ATM ulishamiri sana Afrika Kusini na mpaka sasa. Kuna clip moja nilitaka kuiweka hapa, inayo onyesha jamaa akiibiwa kama vile drama queen alivyoibiwa, lakini sijaipata.

Labda hii itatoa mwanga.

Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..

Kwa hiyo alipokubadilishia alikupatia Master card pia? Halafu card ya CRDB sio tofauti na NBC kwa rangi na alama kama logo?
 
Unaingiza password yako openly bila ya kuweka japo kigingi?

Ni kweli kabisa - password inawekwa bila mtu kuona vidole vinatembea kwa sababu key pad ya ATM ni ndogo sana endapo mtu ameikariri na akaona movement ya vidole lazima atakuumiza tu endapo ana access card yako. Pili ukiona vipi funika na mkono wako mwingine. Tatu, elekeza mgongo wako kwenye watu wengi. Nne, achana kabisa na ATM ya katikati endapo zipo zaidi ya mbili kwenye chamber moja kama pale Kibo, Tegeta. Tano, kama ATM ni zaidi ya moja kwenye chamber tumia ambayo mtu hawezi kupita nyuma yako.
 
Huo ni uzezeta kumruhusu mtu akutolee card ya bank kwa ATM.Watu wengine mnaibiwa kizembe sana
 
Ila umeibiwa kizembe sana..... Me siingii atm kama aliepo hajatoka, na siruhusu maelekezo yoyote maana najua nilichofata. Kwan wewe mgen jiji ili? Ulikua mzembe sana

Hao wezi wanaangalia na sura, mwendo wa mtu, mavazi ili kufahamu nani ni mteja wao.
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Kila siku mnatangaziwa kuhusu athari za kumshirikisha mtu wa tatu wakati wa kufanya mhamala kupita ATM lakini hamsikii mpaka muumizwe.
 
Acha ujunga wewe, tangu lini ATM ya crdb ikatoa 1 million once? Acha wakuibie tena na tena na tana
 
Never under the sun mtu kunisogelea kwenye ATM wakati natoa fedha ijekuwa kugusa kadi yangu. Hapo lazima angepata ngumi nzito sana na ushahidi ni CCTV ya kwenye ATM.
Yani we ndio km mm...ningemlisha ngumi..

Wewe nani mpk unichomolee kadi....stakagi masihara na pesa kbs
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Samahani lakini mimi sikupi pole kwa ujinga wa kiwango cha PhD ila nina swali dogo kwako. Hivi mpaka leo humu duniani bado kuna watu kama wewe?
 
Kwa pointi hizo ina maana anaenda kuibia watu wengine kwa kutumia kadi yako, hiki ni kirusi, ni kuwa makini sana kwa kweli. Suala la ndani ya ATM linahitaji umakini sana.
 
Mkuu, itoe akili yako kwenye uume ihamishie kichwani, mtu humfahamu atakuzoeaje hadi akufundishe kutumia atm?
 
Katika atm machine unaingia aje na mtu baki? Halafu anajidai anakusaidia kuitoa kadi yako, unamwachia tu? Huu ni ushamba au nini?
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Pole sana lakini sisi wa huku mibono ndo wataiba mpaka tundu la chooo uwiiiiiii mayo nafwaaaaa
 
Back
Top Bottom