Recent content by Samoney

  1. Samoney

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Zote zipo mkuu
  2. Samoney

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Yap bado zipo zote F 1 tsh 90-J8 tsh 150
  3. Samoney

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Tecno J8 160,000 Storege 16gb Ram 2gb Haina creak wala michubuko Tecno F1 95000 Storg 8gb Ram 1gb Call 0717-799920
  4. Samoney

    JamiiForums Tanzania Mke alimkasirikia Mama Mkwe wake

    Iko vizur hiyo story
  5. Samoney

    JamiiForums Tanzania Uyui: Mke anyofoa uume wa mume wake kwa meno

    Hahaha ame😅🤪
  6. Samoney

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

    Mkuki kwa nguruwe... Kwa maelezo ya wadau wengi Wanaume sisi Huongoza kwa USALITI... Ila mwanamke wako akifanya ufanyayo ww hakuna namna ni kuachwa tu...ili hali wao husalitiwa na kusamehe
  7. Samoney

    JamiiForums Tanzania Nilimkimbia huyu mdada baada ya kuniomba Shilingi 10,000

    MWANAMKE...UKITAKA MWANAUME(MPZ) AKUACHE WE OMBA TU PESA YAAN WW OMBA TU😅😅
  8. Samoney

    JamiiForums Tanzania Barabara imejaa maji Tanga

    Baada ya kuusoma uzi huu nikajikuta nawakumbuka ndugu zangu walioko Tanga mashewa...Habar n mbaya nilizo zipata zaidi ya watoto wa 5 wamekufa maji...Huzuni sana...Ila wapo watu hufurahia hii hali
  9. Samoney

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Methali ni noma! Mwandishi wake sijui alikuwa kabila gani?

    Shika Neno tenda Neno...iko pow
  10. Samoney

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

    Aisee...Mungu atusamehe
  11. Samoney

    JamiiForums Tanzania Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Ujana maji ya moto. Mara nyingi sisi wanaume hatujali kiukweli. Binti kaomba muda, amini kinacho kuumiza ni hofu. Kapime ndugu na ukikutwa unaishi kwa matumaini yaani ona kama vile vipimo haviko sahihi na uache ngono zembe.
  12. Samoney

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    Rest in peace..Babu
  13. Samoney

    JamiiForums Tanzania Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

    Hongera ndugu
  14. Samoney

    JamiiForums Tanzania Nauza

    Fridge/freezer Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Samoney

    JamiiForums Tanzania Nauza

    Ha ha ha unalihitaji ? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom