Barabara imejaa maji Tanga

Barabara imejaa maji Tanga

Wapo kupokea ndege maana hicho ndo kipaumbele chao
Inashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
 
Barabara nyingi zilizojengwa 2010-2015 ziko chini ya kiwango kabisa. Wakati huo ndio 10% ilipanda daraja na kuwa 20%.
Sijui nani alikuwa mwenye dhamana ya barabara!
wakikujibi nitag
 
Pangekuwa ni mjini mjini unapeleeka helicopter kuvusha wenye haraka kisha wanapanda gari nyingine na kuendelea na safari.

Hukosi millioni kadhaa.
Kwamba helicopter inatua mjini mjini tu
 
Thanks for updates..hope ndugu zetu watafikia salama
Changamoto ipo
Magari yameweka mistar 3


Yaaani ni tabu sana,Polisi wana kibarua sana
IMG-20191026-WA0063.jpeg
20191026_154804.jpeg
 
Niliwahi dharau maji nikapita daraja limejaa nikabebwa sitasahau naona gari inazimika, maji yamenifikia kifuani gari inapelekwa upande. Tokea siku hiyo nikikuta sehemu pamejaa maji sipiti. Mvua iwe inanyesha daraja halionekani bora nirudi nilipotokea au nipaki.

Niliona kifo hivi hivi isingekuwa kuruka sijui nini kingetokea
 
Nasikia na hii pia haipitiki.
Dah! Sasa government nafikiri kuna kitu cha kujifunza.

Miundombinu haijakaa imara kukizatiti na athari za mvua za kiasi hiki.

Labda wapitie kiteto manyara arusha kilimanjaro. Hawana namna nyingine labda wasubiri marekebisho
 
Baada ya kuusoma uzi huu nikajikuta nawakumbuka ndugu zangu walioko Tanga mashewa...Habar n mbaya nilizo zipata zaidi ya watoto wa 5 wamekufa maji...Huzuni sana...Ila wapo watu hufurahia hii hali
 
Vp wadau magari yamefanikiwa kupita hapo kwenye hilo daraja?
 
Back
Top Bottom