Atazimia kabisa [emoji1787][emoji1787]
una bikira?Mkuu mbona mbahili hvyo
watu wamelipa nauli ya kukutana +7800Tsh
we hela ya vocha tu unalia[emoji23][emoji23][emoji23]
by.nyau
Hahaha, So unawatutusa.Watajua wenyewe si wamejiingiza wenyewe kingi 😀 😀 😀
Kaka taratibu basiwewe ni malaya
demu ulomtongoza nae malaya
tofauti yenu ni 1
malaya wewe unataka huduma ndipo ulipie
malaya yule anataka malipo ndipo huduma
Mmeshindwana maana malaya hawaaminiani
na ndio kilichotokea kwako na kwake.
Well said maisha yamevaa pensi mtu anatafuta kwa kuponea mkuuHayo mambo kwasasa nimeshavuka kitambo enzi zangu mwanamke akiniomba pesa mahusiano yakiwa mapya siku hiyo hiyo nampotezea,ila nilichogundua wanawake wengi wenye njaa njaa ndio zao ambao hawajitambui