Kitabu cha Methali ni noma! Mwandishi wake sijui alikuwa kabila gani?

Ndio uko sahihi kabisa... Jambo linapokuwa la kiimani huwa napunguza udadisi na ninahoji tu pale ninapoona nahitaji kufanya hivyo
Nimekupata vizuri.

Unaona hakuna umuhimu wa kujua haya niliyo kuuliza ukizingatia ya kuwa Biblia tunaambiwa ni neno la Mungu au takatifu kama mnavyoita ?
 
Hiki kitabu hakijaandikwa na Mfalme Suleiman.
Mfalme Suleiman aliyeomba kupewa Hekima na Mungu..
Mithali ni kitabu boraaaaaa kabisa ndani na nje ya biblia utachoeza soma humu duniani
 
Nitakuja na maelezo kuhusu jinsi kitabu hiki kilivyotokea. Kwa sasa nisije nikaweka uzi ndani ya uzi.
 
Nitakuja na maelezo kuhusu jinsi kitabu hiki kilivyotokea. Kwa sasa nisije nikaweka uzi ndani ya uzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom