Recent content by Sammy Senior

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani: Sijawahi kushikwa na wazimu wa kuhama CCM

    Ndo maana nchi haiendelei. ng'o coz wanaopewa najukumu ktk utumishi wa umma wanaingia. na uccm tii, alafu ndo anapewa kucmamia sheria duuh..! ama kweli ccm ni mambulula, Nani kasema Augustino ni MSOMI bhana? kusoma wapi? ndo angeshindwa kujiheshimu na kuuficha ukada wake?
  2. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    CCM is died UKAWA ndo EK47 ambayo EDDY anaitumia kuwaulia na mm ni moja kati ya risasi muhimu zinazoiuwa CCM OCT25. na cku hiyo ndo mwili wa CCM utaagwa rasmi "RIP CCM "
  3. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    CCM is died UKAWA ndo EK47 ambayo EDDY anaitumia kuwailia na mm ni moja kati ya risasi zinazoiuwa CCM OCT25. mwili wa CCM. ndo utaagwa rasmi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Regency Hospital kwanini isiwe hospital ya Taifa badala ya Muhimbili?

    chagua UKAWA kama unataka mabadiriko. dawa ya yooote hayo ipo kwa LOWASA "LOWASA RAIS 2015-2020"
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    co mwanacasa ila hapo CDM ur going fail definitly
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninafika kileleni ndani ya dakika 1

    maziwa kikombe kimoja+vijiko v3 vya asali mbichi kunywa x3 per day. pia hilo tikiti maji ucache kutafuna zile tunda zake Heshima itarud tu kama Lowassa ndani ya CDM
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Clean master mazee ni bonge la Antivirus,memory booster,clear junk files,pia ina torch na weather information & xo on yaan ni nooooooowma thaaaaaana
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wow..! S/M njooo Lindi-Nachingwea(Nachtown) nije wilaya yoyote ktk mkoa wa Pwani +255 653 883 178
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

    very good hayo ndo maujanja ya town ukiwa boya lzm wakupige mkwanja. haya waliopigwa walikua hawajui bt leo tumeshaambiwa atakaeibiwa tena me natanguliza pole kabxaaaaaaa......!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Kagame wapata ajali nchini Kenya

    Ya Kagame tuwaachie Wanyarwanda c tubaki Tz yetu pia ina majanga lukuki,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo asimamishwa Uongozi DUCE kwa kushiriki siasa akiwa Mtumishi wa Umma!

    Eeeh..! Ndo utajua kua siasa ni mchezo mchafu pole xana Dr. Kitila
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zitto amburuza Kilewo polisi

    Haina shida askari wetu Zitto kwan hwz kula mua bila kukuta kifundo,na cku zote mkweli hua hapendwi nadhan mtambua kua kuna vingozi wengi tu ambao wamehujumiwa kwa kutenda haki.ucjali Mh. Zitto wakizingua jituoe tuanzishe chama chetu tuone kama watafika popote na jeuri zao hawajui kua we ndo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Am a great thinker too

    Hi..! members,here iz SAMMY. nimejoin as a mwanachama mpya who has been interested na JF. Thus y am in need of ur support.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania: Hali si shwari Zanzibar; Pemba yataka uhuru kamili

    Eenhee..! wapewe chao jamani,kama hawanufaiki wafanyeje?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Of coz bado hajajitambua kwani hao polisi wameajiriwa na nani na wanayoyafanya wanatekeleza mri ya nani au umesahau juz tu Pinda aliwaambia watupige wanavyoweza?
Back
Top Bottom