Msafara wa Kagame wapata ajali nchini Kenya

Msafara wa Kagame wapata ajali nchini Kenya

Una maanisha ulichokiandika mkuu au unatania?

nina maanisha bila kupepesa maana...ngoja nikupe mfano ukiona Taifa lolote limesimama imara jua kuna machungu na magumu ya kupindukia waliyopitia mpaka kufika pale walipo.......kiasi kwamba hata wewe kiongozi uwe tayari kwa gharama hata ya kutoa uhai wako si blah blah blah ....kama ulipata kuisikia Libya wananchi wake walikuwa na ghali nzuri za kimaisha ila walipita kwenye machungu mengi kufika hapo walipo mpaka ilipofika kizazi ambacho hakikujua Libya ilipita ktk machungu yepi na kukubali kurubuniwa kumtoa Gadafi na mambo yoote yameharibika.....ili mambo yao yarudi sawa itawagharimu kupita katika machungu mengine......hata Taifa kama USA hapo lilipo wamepita ktk machungu mengi...hata afrika kusini hakuna asiye jua....MAJI UKIYAMWAGA HAYAJIPANGI KUTAFUTA UELEKEO YATA TAWANYIKA KWANZA BAADAE NDIO YAFUATE UELEKEO.....na TANZNIA BILA KUPITA KATIKA MACHUNGU YA KUTISHA NA KUFISHA......maendeleo tutayasikia kwa wengine........HATA YUSUF ALIPO KUWA MKUU KWA FARAO ALIPITIA KATIKA MACHUNGU....hii ndo siri iliyofichika
 
Sasa hiv ni zamu ya Kagame hiv bado kana mpango wa kumhit Jk kwi kwi kwi kwi!!!natamani wangewekewaa pambano kudadadaaadekii!!!!!!!!
 
Chapa Kazi Kagame Achana na washamba hawa roho mbaya tuu,Rwanda is almost free of corruption society na kwa Africa hapo LA IMA use na maadui wengi lakini future ya Rwanda itakushukuru
 
Watu wawili wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mojawapo ya magari ya msafara wa magari ya Rais Paul Kagame nchini Kenya.

Rais Mwenyewe hata hivyo hakujeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea saa mbili asubuhi katika eneo la Limuru eneo la Kati mwa Kenya.

Gari hilo hata hivyo lilipoteza mwelekeo likiwa mbali na msafara wenyewe.Dereva wa gari hilo alipoteza mwelekeo katika barabara kuu ya Nairobi-Limuru.
 
I have one thing to ask JF members, kwanini Kagame ana topic nyingi sana juu yake humu? Katika Internation Forum, sidhani kama kuna mtu au kiti kimewahi kuongerewa iwe kwa uzuri au ubaya kuriko huyu jamaa. Can some one open up a new debate on this and we discuss why? there must be a strong reasons and a lot of argument on this
 
huyu kagame huo uchuro kifo, hatimae inaweza kutokea kweli, hii ni ya pili baada ile ya wiki ya jana, uetu macho
 
Mungu amlinde jamanda ili wachape kazi ea tusonge mbele
 
kagame ni bundi katika jumuia ya afrika mashariki,ameshaanza kulia,ni uchuro
 
Back
Top Bottom