Umeme bado unakatikakatika tu hadi leo ndio tuseme kiuno kimekuwa na uzoefu au maji yamekauka kwa mto? Tunaomba substation Manyoni maana mbunge wetu hata halioni hilo pamoja na viongozi wake.
Manyoni vijana wengi hatuna ajira kutokana na kuwa hakuna sehemu za utalii, madini yapo lkn ni hifadhi...
Tumefulia lakini tuachane na hayo boresheni bando zenu na muache kukata salio tukichelewa kujiunga maana mkiisha kata salio huwa hamuishi sababu za uongo na huwa hamrudishi haki zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba maelekezo jinsi ya kubadili namba ya simu ya kwenye account kupitia ATM machine ikiwezekana kwa maelekezo yaambatane na picha maana nimejaribu mara kadhaa na sikufanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kukutana na uzi matata miaka kadhaa nyuma ambao ulikuwa unahusu jinsi ya kufanya mapenzi ndotoni lakini nimejaribu kuutafuta uzi huo tena na sijafanikiwa kuupata.
Kusema kweli nilijaribu kufuata maelekezo yake usiku mmoja na nilijikuta kama vile nafanya mapenzi real kabisa hadi...
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?
Siifahamu kwa jina lingine.
Shikamoo mkuu, naomba kufahamu tiba ya pearly penile papules pamoja na bawasiri na pia sikio langu huwa nalihisi kama lina maji na huwa linawasha kiasi pamoja na kuziba kwa muda mrefu lakini kila hospital nilioenda nimeambiwa sina tatizo nikapiga na bomba hadi nikawa nazisikia hatua zangu kama...
Kuna wakati nilikuwa napata maumivu makali kwenye nyonga za ndani au naweza kusema nyonga za mbele wakati nikiwa nafanya mazoezi ya kukimbia na nilikuwa nahisi kama vile kitu kinavuta (kinacheza/kudunda) upande wa kushoto chini ya tumbo kwenye maungio ya mguu sometimes nilikuwa nahisi maumivu...
Nyie sometimes hata mkiwa mmechoka tu ni mwendo wa kugombana na kununiana na hata wivu huwapelekea kutununia ama msipotimiziwa au kuruhusiwa mambo yenu pia mnanuna, binafsi nawafahamu kiasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.