Kufungua account ni kitendo cha dk 10 tu shangazi yako alionao kazi.
Tatizo hawaombi ushauri kwa ndugu yakiwakuta ndo ndugu mnajua.
Sio mbaya pesa zinaliwa na mademu wa mtoto wao
Mimi natoka wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Kutokana na mambo ya kifamilia sijakanyaga Liwale miaka 17 sasa.
Sasa iko hivi tukiwa vijana wadogo tulienda mtoni , nimesahau tulienda kufanya nini but yawezekana kuoga, kuvua au kuokota maembe. Jioni wakati tunarudi tulipitia kusimani ambapo tulikuwa...
Kuna neno maskini wengi na neno maskini tu.
Mimi nimetumia neno maskini wengi.
Umaskini ni results of lack of knowledge. Na lack of knowledge ndio njia kubwa ya mapepo kumwingia mtu.
Nyie ni wajinga, matutusa na malofa.
Huyu kahaba anawaona nyie Matahira.
Nyie ndio mitaji yake baada ya kuachika kwenye ndoa yake.
Mtu yuko nchi za mbali, tena si Mtanzania, mtu aliyeikatikia machine ya baba yake mzazi eti mnataka awape A to Z ya nchi yake
Biblia inasema " watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".Hosea 4 : 6
Nani anawaangamiza?
Ni adui/ shetani/ mapepo.
Biblia inasemaje kuhusu mali? Kwenye Mithali za Suleiman, Suleiman anasema hekima inaonyesha matokeo, yaani ukiwa na hekima/ akili utapata vitu kwa hiyo hekima.
Kwahiyo...
Ahahaha 😂 😂 😂
Bora Mimi napata buku 7 sasa nyie MANGE kawaona wajinga mnalipishwa kupewa umbea wa nchini kwenu na mtu wa abroad.
Halafu sasa sio buku 7 tena ni 15
CCM ni old version kwa ajili ya old version people.
Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya.
Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya.
Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.