Maisha yako yote hakikisha haukosi watu hawa

Huyo kiatu namba tatu mtoe kabisa huyo likikukuta la kukuta honga achana nao hao.

Nilikuwa na mmoja nikamuona wa maana kumbe snitch ananikamatisha kwa wenzie natoa hela wanaenda kugawana chamber,mpaka mmoja wake nae akaniambia fulani ndiye anatuelekezaga so hata wenyewe kwa wenyewe wananafikiana.
Hao ni makumazani sana,labda awe ndugu yako haswa.
 
Huyo kiatu namba tatu mtoe kabisa huyo likikukuta la kukuta honga achana nao hao.

Nilikuwa na mmoja nikamuona wa maana kumbe snitch ananikamatisha kwa wenzie natoa hela wanaenda kugawana chamber,mpaka mmoja wake nae akaniambia fulani ndiye anatuelekezaga so hata wenyewe kwa wenyewe wananafikiana.
Polisi Wengi wanakuwaga miyeyusho Sana
 
Maisha hayana kanuni.
Ukiwa na pesa hao watu wote watakufuata au watapatikana hata saa 8 usiku ukiwahitaji tu.
Kama huna pesa kazi yako itakuwa kujaza namba za watu tu mara Dakota Moi, Dokta Muhimbili, Police Kata, police Dodoma, mara mwanasheria, na siku ukiwapigia hawakujui maana hawakuwazii unaanza kujieleza .
 
3,4 watoe hao mchango wao haupo tena kwa niaba yao bora umtuie uyo 1 pia apo kwenye mchungaji,shekhe,padri ulimsahau mganga wa kienyeji
 
Maisha hayana kanuni.
Ukiwa na pesa hao watu wote watakufuata au watapatikana hata saa 8 usiku ukiwahitaji tu.
Kama huna pesa kazi yako itakuwa kujaza namba za watu tu mara Dakota Moi, Dokta Muhimbili, Police Kata, police Dodoma, mara mwanasheria, na siku ukiwapigia hawakujui maana hawakuwazii unaanza kujieleza .
Point ☝️
 
Back
Top Bottom