Nikuulize swali hapo, Ni hard disk ndogo ya Laptop au kubwa? je iko detected? kama iko detected je ukiifungua inakupa msg gani? je kuna indicator yoyote inakuonyesha kuwa inapokea power?
kama haiwi detected itakuwa imefanya crack kwenye circuit yake ilioshikiliwa na cable,
Hebu Lizzy cheki hizi sababu kutokana na utafiti uliofanywa na ushahidi wa kisayansi,
Shifting Bones
While females are usually dubbed the more fairer, beautiful sex males are the winners when it comes to ageing of the facial bones. Using CT scans of 100 men and women, researchers at the...
Mkuu umemaliza kila kitu, maana hakuna alogusia points hizi. utake usitake mshadede ulichezewa utasimama tu haijalishi unataka au hutaki. Kutokana na msisimko wa touching, teasing and so on.
Kuna swala nikuulize hapo kwnye kuoana, nnavojua kwenye usilam kijana wa kiume anapoozeshwa huambiwa " UMEKUBALI KUMUOA FULANI BINTI FULANI and so on" hakuna kitu mnaona, Je hii ibadilike nayo au imekaaje?
Wengine wanakuja na gia hio ya kuoa na mahari wanatoa ila akisha shake well anakupotezea tu, maana wengine wagumu kutoa mzigo mpaka aone amelipiwa mahari sio.
Kwa hio Mungu aliposema usifunje amri sita hii imekaaje? Mungu hajui kama una malengo na akasema usizini? na Huyu asiozaa ataolewaje? Je ni sababu tosha ya kutozaa ivunje uchumba? Mapenzi yana nafasi gani hapo? Ikiwa ni wewe inakutokea hio huzai unaachwa na mchumba wako utajiskiaje? Think abou...
Umeshanisemea FF, ila kama Huyo Dada hajali dini yake na hafuati mafundisho na yuko tayari siku ya siku akajibu hilo Swala Mbele ya muumba wake basi muache wacha aendelee tu. Halkadhalika na huyo kaka je Jee dini yake inamruhusu kufanya hivyo.
mabinti na Vijana wa kiume wacheni kuwakwaza wazee...
Mkuu naona umeshanisemea tayari, ila naongezea na kusisitiza tu awe muwazi likija suala la la historia yake kimapenzi. Na usikubali kutoa mzigo kirahisi maana baada ya mda itakuwa kila anaekuja japo ni mdanganyifu unampa mzigo, na hilo litakuja kukukosti mbeleni na utajutia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.