Msaada: External harddisk haidetect

mpushi

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
280
76
jaman naombeni msaada external yangu samsung imeanguka na saiv haisomi nifanyaje?
 
Nikuulize swali hapo, Ni hard disk ndogo ya Laptop au kubwa? je iko detected? kama iko detected je ukiifungua inakupa msg gani? je kuna indicator yoyote inakuonyesha kuwa inapokea power?

kama haiwi detected itakuwa imefanya crack kwenye circuit yake ilioshikiliwa na cable,
 
Nikuulize swali hapo, Ni hard disk ndogo ya Laptop au kubwa? je iko detected? kama iko detected je ukiifungua inakupa msg gani? je kuna indicator yoyote inakuonyesha kuwa inapokea power?

kama haiwi detected itakuwa imefanya crack kwenye circuit yake ilioshikiliwa na cable,

mkuu ni ndogo inawasha taa tuu lkn haionekani kwenye pc, nimejaribu mara zote inawasha taa tuu
 
wakuu naombeni msaada sana wa vipi nitaweza kuifungua hii external harddisk au ni jinsi gan nitaweza kuzipata hizi data zilizomo humu ndani
 
light ipo kwenye harddisk na badala ya kuchezacheza inawaka continuously ila ndo haisomi, nifanyaje mkuu?


Kuna kakampuni kanaweza kukusaidia na huwa kanatangazwa na Radio Clouds...wapigie watakuelekeza
 
Pole sana mkuu. Kama imeanguka basi nahisi ndiyo imekufa tayari hiyo. Ila kama upo dar wapigie hawa 0659095787 waeleze tatizo lako wanaweza kukusaidia angalau kupata data zilizopo humo.wanaitwa data handlers wapo opposite na movenpick (ambayo siku hizi inaitwa serena) ila hao data handlers bei zao utatamani ukimbie na usirudi tena. Good luck
 
mkuu asante kwa namba, ngoja niwacheki nitakupa feedback cha muhimu zaidi ni hizi data zangu hata nizipate
 
Duh, na yangu ndo imenaguka hivyooo, haisomi bali light inawaka.. What could be wrong?
 
Hard drive ni sensitive sana kwa shock, ukiangusha isipowaka maana yake umeharibu kitu ndani ya hard drive na data zako zimeenda na maji.
Kuna watu kama hao data handlers wanawezaga sometimes kurecover some data kwa kuifungua hiyo HD na kubadili parts za ndani lakini haina uhakika na bei yake ni kubwa.
 
Hii ni kwa mtu yeyote, ilisaidia a friend ila ni kwa uamuzi wako na usilaumu mtu ukitaka ifuata. Nimekupatia link jisomee amua ni mtu amejibu mtu post hii

Kama ipo bado katika warranty basi contact kampuni uliponunua au waliotengeneza. Kama hauna/imeisha basi waweza chokonoa au kumpa fundi achojonoe
Nasema hivi maana kampuni iliyotengeneza wanawekaga kitu kujua haijaguswa au imeguswa. So ukiwa ktk warranty ikachokonolewa na fundi au mwenyewe warrant inaishia hapo.

###
Inside the hard drive (not the silver case of the external encloser) you have a disk which has a arm thats goes over it to read the data, it seems to me that you have dislodged this arm, now it is NOT advisable to open a harddrive, BUT if you do open it you should be prepared to recover your data immediately and buy a new one, its not worth repairing these in my opinion, many people will say that im talking rubbish, but why not open it, parially fix the problem, recover your data, and buy a new hard drive, iv done it many times before.

basically here is what i do with drives that are broken, please do this ONLY IF YOU FEEL COMFORABLE DOING SO........note i do this on my test pc,and it does work but is slightly stupid and maybe dangerous but if you know what you are doing you can recover you files.......

*NOTE ONCE YOU OPEN THE DRIVE I WOULDNT TRUST/USE IT AFTER THAT*

1) make sure you have any static gloves/strip etc
2) ensure the jumper at the back is on slave
3) open the silver case (there are screw beneath a warrenty sticker too)
4) visually inspect the inside you may notice something broken or dislodged
5) plug in the drive (CAREFULLY) into the the motherboard and then PSU while the pc is on
6) if the arm does not move forward, using a wooden stick (match stick end) slowly
7) if you do it properly windows should pick it up and you should able to bak your work up quickly over you you main hard drive.

as i say, many people would not advise this, but its something i have done many times before and it worked all the time. so i hope it helps.
###
i dropped my external hard drive, can it be fix - Tech Support Guy
 
Mkuu kabla haujafanya waliyokuambia wapendwa sana humu dimbani mie na mtizamo kidogo tofauti ila mbeleni utaingiliana na huu wa nyuma tafadhali.

1. Tafuta enclosure nyingine fungua hiyo ya samsung(Bomoa Case) kisha toa hiyo hard Drive yako.
2.Chukua hard drive yako ya samsung iiingize kwenye enclosure hii mpya kisha ichomeke kwenye pc iliyo on isikilizie
ikogoma kusoma hapo.
3.Tafuta laptop yenye kutumia SATA kisha toa hard drive yake na weka hiyo hard drive ya samsung kisha tafuta
Windows XP CD fanya kama vile unataka kufanya installation fuata procedure zote by default itafika mahali ita-check disk isikikilizie hard imalize kisha ikiaanza kufanya
installation zima laptop yako na ite hard drive ya samsung irudishie kwenye enclosure jaribu kuifungua.Ikigoma hapo
sasa tazama utaratibu wa waungwana wakusaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom