Msaada kuhusu blackberry@verizon wireless

Msaada kuhusu blackberry@verizon wireless

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Posts
1,081
Reaction score
313
Wadau naomba msaada kajua kama kuna uwezekano wa internet kwenye blackberry verizon. Mitandao yote ya simu nimeenda wanadai haiwezekani.
 
Inawezekana,install Operamini utaweza kusurf net kama kawaida!
 
Wadau naomba msaada kajua kama kuna uwezekano wa internet kwenye blackberry verizon. Mitandao yote ya simu nimeenda wanadai haiwezekani.

Ni kweli hiyo haiwezekani kwa sababu verizon hizo cm wamezifunga kuna chip wameweka kwenye circuit hauwezi kufanya utundu wowote
 
Ni kweli hiyo haiwezekani kwa sababu verizon hizo cm wamezifunga kuna chip wameweka kwenye circuit hauwezi kufanya utundu wowote

Thanks mkuu! Kwa hiyo hakuna mtu hapa bongo anaweza kuformat kuondoa hiyo circuit ya verizon. Dah nisubili nikirudi state sasa ndiyo nikatumia hapa bongo ni kimeo
 
Mkuu Operamini kivipi? Sijakuelewa
Download Blackberry Desktop Manager halafu Download na Operamini then install.Search humu kuna thread inahusu kutumia
internet kwenye Blackbery bila BIS
 
Hio operamini bila ya internet utaitia vipi, bado hujashauri kitu hapo, weka model number ya sim nijaribu kukusaidia
 
Back
Top Bottom