Hii serekale inajua kucheza na akili za wadanganyika visuri sana.
Unaambiwa umefutiwa ada halafu unaambiwa leta gunia la mahindi, maharage, mafuta ta kula, hela ya mlinzi, nk. Ukipiga hesabu ni karibu 300,000, halafu ada iliyofutwa ni 70,000.
Si wangetoa hiuo michango tubaki na ada.
Halafu...