Kabudi na Lukuvi wamehudhuria kikao cha Mawaziri kwa vyeo gani?

Akili mukichwa, Lukuvi ana nguvu kubwa na akiungana na Kabudi wanaweza kuleta shida kwenye system ya utawala wa bimkora.

Hapo anawageresha hata kama wanaelewa kwamba hawapaswi kuenda kinyume na mama, Ila anawapa at least a smooth transition from uwaziri to nobody but believe me atawamwaga ngoja uchaguzi wa spika uishe.
 
Sijuikwanini hawa wazee hawajiajiri wanamfatafata mama aponyuma kama watoto wakiomba kakibarua licha ya kunangwa vibaya!!

Hivi wao wanadhani waliosemwa kuwa na homa ya urais 2025 ninani??? Au wanajisahaulisha!!

Morogoro na iringa kilimo kinakubali vyema embu walio karibu nao wawaambie wakajiajiri shamba!!!
Hao ndio watajua umuhimu wa katiba mpya sasa
 
Hao watu ni wazoefu walifanya kazi kwa ukaribu na Magufuli ni muhimu sana kwa Samia, public outcry pressure, namna ya kuwamaliza kama walichukiwa na wanamtandao chagueni mnachoweza kukiamini_kila mmoja ashinde mechi Zake,
 
KWEMA WAKUU.

Nimemuona Waziri Mstaafu wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Ardhi mstaafu Ndg William Lukuvi Wakiwa katika Kikao Cha MAWAZIRI na Rais na wakiandika notes na michango.

Mimi kama Raia na mlipa Kodi wa Nchi hii Hawa watu wawili Wapo Kwenye Baraza la Mawaziri kama Akina nani nilisikia Rais Akisema Kuna Kazi atawapatia.

Je, Ni kazi za Siri ambazo wananchi hatupaswi kuzijua?

Nipeni ufafanuzi tafadhali
View attachment 2079622
Hao siyo Wastaafu mkuu. Nafiki ni vizuri tupate neno sahihi kwa watu kama Hawa. Wengi wao huwa tunawaita wastaafu wakati kiuhalisia they are Former ministers. Sasa hiyo former kwa kiswahili sanifu sijui ni nini....!!?
 
Mbna Rais aliweka kila kitu hadharani , wanamsaidia kazi fulan fulan pale Ikulu😊
Hakuna kitu kama hicho.wanaohudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri ni wale waliokula viapo.sasa hawa 2 wamekula viapo wapi?Waambie ukweli waende majimboni kwao.Huku ni kupoteza kodi za wananchi.
 
Hakuna kitu kama hicho.wanaohudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri ni wale waliokula viapo.sasa hawa 2 wamekula viapo wapi?Waambie ukweli waende majimboni kwao.Huku ni kupoteza kodi za wananchi.
Kwa hyo unapingana na mamlaka ya Raisi , mkuu ungepewa wewe hyo kazi ungezingua? Duh haya bhana , tuandamane sasa mkuu
 
KWEMA WAKUU.

Nimemuona Waziri Mstaafu wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Ardhi mstaafu Ndg William Lukuvi Wakiwa katika Kikao Cha MAWAZIRI na Rais na wakiandika notes na michango.

Mimi kama Raia na mlipa Kodi wa Nchi hii Hawa watu wawili Wapo Kwenye Baraza la Mawaziri kama Akina nani nilisikia Rais Akisema Kuna Kazi atawapatia.

Je, Ni kazi za Siri ambazo wananchi hatupaswi kuzijua?

Nipeni ufafanuzi tafadhali
View attachment 2079622
Ni matumizi mabaya ya raslimali; ni sawa na rtais kuwalipa marafiki na ndugu zake ambao hawamo serikalini kwa kutumia kodi yetu eti kwa vile tu wanamsaidia yeye kufanya kazi zake.
 
Back
Top Bottom