Recent content by Samat

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    sasa kama umekiona hiko kitu si utuambie ili tukijadili??
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Bilionea Dowans atua • Asema sasa yuko tayari kufikiria kupunguza fidia na Mwandishi wetu UTATA kuhusu umiliki wa kampuni ya Dowans Holdings SA ambao pia ulikuwa ukizingira suala zima la fidia ya dola za Marekani milioni 64 (sawa na shilingi bilioni 94) ambayo kampuni hiyo inapaswa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mabomu yalipukia Nyumbani kwa WAZIRI Mkuu

    mmh, kumbe waziri mkuu ana makazi na pugu pia? me nilijua masaki/oysterbay
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma 125,000/-; wanafunzi 300,000/= per month!

    Kweli lakini mzee!!:clap2::clap2:
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Jamani

    welikam
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Mkuu kaapishwa asubuhi hii,
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    [B]Wana jamii mwenzenu nipo mbali na Runinga na kwa kazi ya leo sitakuwa na uwezo wa kucheck hata TV (Vijijini) Naombeni updates za huko Dom Bungeni.. Nasikia Prime Minister ameapishwa, vipi msimamo wa Chadema, walihudhuria, au kuna lipi jipya.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Pinda aapa bila Msaafu wala Biblia

    Hii kali ya siku ya leo.... kulikoni hakuna msahafu au biblia
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

    Yaani hapa hakuna ubishi, hawa ndio mawaziri watarajiwa, Jei Kei kafanya makusuidi hapa ili waingie bungeni mapema waapishwe then yeye next week akichagua baraza la mawaziri awaingize.........hii kazi kweli kweli
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Madhara ya kutokumtambua Rais

    Ungejaribu kukataa kumpisha then uone mkono wa dola la Jei kei... naona ungefia segerea Ila hata mimi ningeafiki chadema wangesusia speech kwa kuwa hawamtambui rais, ila ninachohisi watabaki bungeni ila hawatasupport hotuba yake, kama walivyouchuna jana kwa Pinda
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh yahya aumbuka au bado?

    Huyu mzee ni mjanja mjanja sana, tena ni shushu wa CCM huyu me nahisi... ameshaumbuka mapeema ila anajifanya mjuaji tu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada- Siku ya Eid El-Hajj

    Wana Jamii, Nimekuwa na tatizo kubwa katika kutafakuri na kupambanua juu ya Siku hii Ya Eid Al- Hajj, mimi ni muislam ila nashindwa kuelewa kwanini Eid hii inasherehekewa siku mbili tofauti hapa tanzania? Maana kuna watu wanaochinja,(hata nchi jirani za wenzetu leo wanachinja) na ndio maana hasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mnajimu yahaya hussein na ccm kunani?

    Ndo wale wale tu wa CCM, yupo chini ya CCM huyo, na ndio maaana alijifanya kutabiri kifo kwa maraisi tena akasema watakao mpinga JK, hakukuwa na lolote zaidi ya kuwatishia watu na kuwatia woga wa kugombania nafasi... na vile vile kuwafanya wananchi wajiandae kisaikolojia kumpigia kikwete.. Hivi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    Kinachoangaliwa na kukubaliwa na jamii ni uwezo wa mtu na c jinsia aliyonayo... Kama Migiro ni msafi na ana uwezo , basi hata jamii itasupport kugombea kwake, na si suala la eti kufanya hivyo ni kufumba macho ya wananchi juu ya kashfa za chama tawala. Sasa wananchi wenye uwelewa hawadanganyiki...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

    Aaa jamani bunge la mwaka huu, sijui.. maana wabunge wapenda nani hii itakuwa hawajadili miswada bali wanawazia vikuku baada ya kikao wafuatilie... hehehehehe... basi hata sheria za bungeni hawa wadada hawazijui jamani?
Back
Top Bottom