Recent content by samadali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kujikita kwenye kilimo, zao lipi naweza anza nalo?

    unawazo zuri sana la kuingia kwenye kilimo, kilimo kitakachokutoa haraka sana ni kilimo cha mboga mboga kama nyanya, vitunguu, karoti, na pilipili hoho, mazao haya yanawateja wengi sana na yananunurika na makundi yote namaansha kuwa walio nacho na wasionacho, mimi nina diploma ya kilimo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimebeba mzigo wa familia nahisi kuchanganyikiwa

    jamani roho imeniuma kweli unataka wazazi wakushukuru kwa lipi mkuu! wadogo zako nao wakushukuru kwa lipi jamani!! yaani roho imeniuma kweli, mtu akiwasema vibaya wazazi wake mimi roho huwa inauma kweli, lakini hii ndio dunia
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jamani Lowassa ana "nyota"

    nyanda za juu kusini unamanisha mikoa kama mbeya sio, njoo uone watu wanavyompenda lowassa mimi hapa nipo isongole ileje mpakani mwa tz na malawi huku kila mtu lowassaaaaaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    kama ikitokea akaihama chadema ndio lowassa atazidi kupendwa zaidi maana watu watakuwa na hasira ajabu
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

    Neno mwananchi maana yake ni Mwenye nchi, sasa utamnyimaje mwenye nchi akiitaka?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Afya kwanza vyama baadae, get well soon
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    kipindupindu kipo mkoa gani kweli SUMBAWANGA AU DAR?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Wapi Wajameni

    wanapaita TUKUYU KU-SOUTH
  9. S

    JamiiForums Tanzania Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Ukiona ndege ya jeshi la nchi yako angani ujue upo salama kabisa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi

    mke anatoka nyumbani anaenda kazini kushikwa wowowo!! halafu anarudi jioni kachoka unamwambia pole mke wangu kwa kazi unaonekana umechoka sana anakujibu asante mme wangu kumbe kachoka kwa kupigwa wowowo!! wewe ukimgusa anakuwa mkali kisa wowowo zimeuma kwa kupigwa na jamaa jingine!! pole sana...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    by samadali pole kwa majukumu mheshimiwa, mimi ni kijana nimemaliza diploma ya kilimo na mifugo, tatizo langu mheshimiwa sina ajira maisha ni magumu sana naomba unisaidie nipate ajira namba yangu ni 07699192358 Mungu akubariki.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    by samadali kaka, mimi naomba unisaidie ili nipate ajira, nina diploma ya kilimo na mifigo, nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote, naomba msaada wako kaka mamba yangu ya simu ni 0769192358 Mungu akubariki.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili la "Hakielimu" sidhani kama litadumu

    mkuu, kuna soko la kijiji cha bupandwa wilaya ya sengerema mkoa wa mwanza limeanzishwa miaka ya 74 mpaka sasa hakuna choo au bafu watu wanajisaidia ovyo kila wanapoona panafaa, ushuru wa soko unakusanywa kama kawaida, viongozi wote wapo wanaangalia tu na maisha yanaendelea, wanasubiri watu wafe...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sugu kuenguliwa kura za maoni

    utamu wa ngoma ingia ucheze, watuuliza tunaoishi mbeya SUGU ni zaidi raisi anaekataa aje mbeya amtukana sugu aone kama hatujamgeuza plant nutrients
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    ukweli watu wa dar wanatia aibu kweli, mwanaume mzima unakula utumbo wa kuku utapata nguvu wapi, kanda ya ziwa ukila utumbo wa kuku jamii inakutenga
Back
Top Bottom