euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,946
- 4,389
![]()
![]()
![]()
Hivi ni moja ya vyoo vingi ambavyo vinatumika katika shule zetu za Msingi na Sekondari hapa Tanzania.
hvyo vyoo mara nyingi vinakuwa mizingA na watoto huwa wanadumbukia navyo
![]()
![]()
![]()
Hivi ni moja ya vyoo vingi ambavyo vinatumika katika shule zetu za Msingi na Sekondari hapa Tanzania.
Bos Wa 'hakielimu' Anangozi Ngumu Sana Ameshaonywa Mara Kibao Na Kuitwa Wizarani Pale Na Kukaripiwa Ukizingatia Yeye Ana Asili Ya Kiasia Lakini Wapi Kakaza Mbaya
Mkuu nimekuelewa kabisa! Ila ndugu yangu nani awajibike kwa hili? Hao wezi wa mabiliono wanafanya nini? Hakuna cha kuwajibika mpaka majizi yamerudisha hele za walala hoi.
Waliache tu maana linasadifu hali halisi ya shule zetu. Acha dunia itutambue labda misaada itamiminika kabla ya October!Kuna tangazo,binafsi nimeliona leo ITV, linaonyesha tatizo kubwa la vyoo katika shule zetu za msingi.
Tangazo hilo linasikitisha ukiliangalia. Tangazo linaonyesha jengo bovu na chakavu sana la choo huku wanafunzi wakipanga foleni ndefu na hapo hapo wakigombania kuingia chooni na kibaya zaidi mwalimu wa kike anaonekana awali akitoka katika choo hicho kabla ya wanafunzi kuingia kitu kinachomanisha kuwa walimu wanachangia choo hicho na wanafunzi wao.
Kwa waliona tangazo hilo bila shaka watakubaliana na mimi na huenda wakawa na mengi ya kuongeza kuhusu tangazo hilo.Mimi ndio leo nimeliona kwa mara ya kwanza sijui nyinyi wenzangu maana huenda lina muda.
Kwa ujumbe unaobebwa katika tangazo hilo,sidhani kama litavumiliwa.
Tusubiri muda utaongea.
![]()
![]()
![]()
Hivi ni moja ya vyoo vingi ambavyo vinatumika katika shule zetu za Msingi na Sekondari hapa Tanzania.
Kiukweli vyoo vya shule ni sheeda,, HV Jana nilikuwa na mwalimu furani kutoka shule ya msingi kaja kutoa taarifa kwa mwenyekiti wa kitongoji kuwa wanafunga shule kwa lazima kutokana na uhaba wa vyoo,, kwani shule yaweza kupata magonjwa ya mlipuko any time,,,,,,
Mkuu sio shule za msingi tu, kuna shule moja Mji kasoro bahari inaitwa Nane nane secondary haina vyoo na vilivyopo ni chakavu kweli kweli na ni vya wanafunzi so walimu wanashare na wanafunzi.Kuna tangazo,binafsi nimeliona leo ITV, linaonyesha tatizo kubwa la vyoo katika shule zetu za msingi.
Tangazo hilo linasikitisha ukiliangalia. Tangazo linaonyesha jengo bovu na chakavu sana la choo huku wanafunzi wakipanga foleni ndefu na hapo hapo wakigombania kuingia chooni na kibaya zaidi mwalimu wa kike anaonekana awali akitoka katika choo hicho kabla ya wanafunzi kuingia kitu kinachomanisha kuwa walimu wanachangia choo hicho na wanafunzi wao.
Kwa waliona tangazo hilo bila shaka watakubaliana na mimi na huenda wakawa na mengi ya kuongeza kuhusu tangazo hilo.Mimi ndio leo nimeliona kwa mara ya kwanza sijui nyinyi wenzangu maana huenda lina muda.
Kwa ujumbe unaobebwa katika tangazo hilo,sidhani kama litavumiliwa.
Tusubiri muda utaongea.
Well wabuyaga
Lakini hili bado halifuti uwajibikaji wa kila mwanajamii kutoa mchango wake katika kuboresha huduma za kimsingi.
Unfortunately mwanao akifariki kwa kutumbukia katika shimo la choo kibovu hatakuwepo "fisadi" wa kurudish uhai wake au akilazwa kwa magonjwa ya kuambukiza kama kuhara damu ama kipindupindu pia hakutakuwa na huyo "fisadi" wa kusaidia kuuguza.
Wewe timiza wajibu wako usiangalie wengine wayafanyayo.
Matangazo ya picha ya aina hii na cyber law kuna hatari naiona inakuja.