Recent content by Sam82

  1. Sam82

    Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Nashukuru sana kwa elimu hii nzuri na muhimu kwa ustawi wa biashara zetu
  2. Sam82

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    Safi sana mkuu, vipi mwaka huu kuna fursa kama hii tena?
  3. Sam82

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Umenena vema kulingana na mtazamo wako mkuu, sincerity haipimwi kwa wingi au uchache wa maneno, ukubwa au udogo wa sauti, muda mrefu au mfupi. Ila jambo lolote, ombi lolote, sala yoyote ikitendeka kwa imani thabiti, kwa unyenyekevu bila ubinafsi Mungu ni mwaminifu sana. "Petro akafumbua kinywa...
  4. Sam82

    Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

    Yooote yaliyopita ni chamtoto, hii ndo kiboko kweli. Umenifanya nicheke sana mkuu
  5. Sam82

    Kwanini mwanamke ukimwambia ukweli akukubali??

    Ukweli siku zote humweka mtu huru na kwakweli inapendeza pale unapokuwa mkweli lakini tambua kuwa ukweli una gharama zake na ndo maana unauma au ni mchungu. Kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri, kama ukweli wako utamfanya ahisi kukosa maisha mazuri lazima akukimbie. Kila mtu anapenda...
  6. Sam82

    Twin souls/flame ni nini?ni kweli inaexist?inatoka kwa shetani au kwa Mungu

    Pole sana mkuu kwa kutaabika huko lakini ni bora ukazungumzia nafsi yako maana waijua vilivyo na hakika nafsi hukwambia ukweli kuhusu wewe lakini bahati mbaya ni kwamba nafsi yako haiwezi kukwambia ukweli kuhusu nafsi ya mtu mwingine. Hivyo napenda kukushauri usijiaminishe kuwa unvyohisi ndivyo...
  7. Sam82

    Afrika Kusini: Mchungaji Alph N Lukau afufua maiti na kuacha gumzo kubwa

    Ukimjua Mungu vizuri huwezi babaishwa na maigizo ya watu kwa kigezo cha dini. Mungu hufanya kitu ili utukufu apewe yeye na si apewe mwanadamu ila ukianglia watenda miujiza wa siku hizi wanafanya maigizo huku makamera yamejaa ili ulimwengu uwakubali kuwa wanaweza na kwa njia hiyo wajipatie...
  8. Sam82

    Wanawake....let's be kind to men!!

    Umejibu vizuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sam82

    Nimechoka sana na maisha

    Umenifurahisha sana rafiki, kana kwamba ulikuwa kwenye akili yangu. Hakika nisingepitia michango ya watu kwenye uzi huu na kukuta maoni yako huenda maandiko yetu yangefanana kwa 90% Barikiwa kwa ushauri mzuri rafiki yangu wa MMU Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
  10. Sam82

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Kwanza kabisa nikwambie; kuumizwa na jambo usilolitegemea hasa katika mapenzi ni jambo la kawaida ila maumivu yakae kwa muda gani inategemea na maamuzi ya mtu. Moyo au kwa maana nyingine fikra za mtu huwa namna mtu anavyotaka ziwe, ukitaka usiumie hakika hautaumia na ukitaka uumie utaumia...
  11. Sam82

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Sawa rafiki nashukuru, tutazidi kushauriana na wapendwa wa MMU kadri itakavyowezekana. Maisha yanawahusu watu, watu ni mimi, wewe na mwingine. Kila mmoja ana nafasi ya kumfanya mwenzake atabasamu.
  12. Sam82

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Kwanza nikupe pole sana kwa yaliyo kukuta rafiki mpendwa wa MMU. Wakati mwingine Mungu huruhusu tupitie maumivu ili tuweze kupata kilicho bora, ukweli katika mahusiano yako unapaswa kumshukuru Mungu sana tena sana kwa kukuonyesha ni namna gani huyo binti hafai kuwa Mke bora kwako, Mshukuru...
  13. Sam82

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Kesi ya mwanamke usimpelekee mwanamke maana huwezi jua kapitia nini kwenye mahusiano ambayo amewahi kuwa nayo, hivyo nashauri uzungumze naye wewe mwenyewe kinaga ubaga rafiki tena seriously. Huyo ni mke wako siyo hawara wala girl lover.
Back
Top Bottom