Kwanini mwanamke ukimwambia ukweli akukubali??

Kwanini mwanamke ukimwambia ukweli akukubali??

Huyo mwanamke unayemzungumzia hahitaji pesa.

Ngoja nikupe siri. Mwanamke anachohitaji kwenye maisha ni Uhakika na Usalama wake. Mwanamke anahitaji mwanaume anayejielewa kuliko mwenye pesa. Kwani pesa unaweza hata ukaiba au ukadhulumu lakini mwanaume akijielewa atakuwa mchapakazi na kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kumhudumia mwanamke.

Mtu anaweza akawa na pesa na bado asimpe mwanamke. Na chakushangaza ni kuwa wanaume masikini na wa tabaka la kati ndio wanahonga zaidi ya wenye pesa.

Ndio maana, hauitaji pumzi peke yake kuishi, ndivyo walivyo wanawake... una amani lakini unakufa njaa 🙄
 
Watoto Classic ni wapi hao Mkuu.
Au unazungumzia hawa Masikini wanaojifanya maslay queen kwa kuvaa viguo vya kisasa ilhali wanaishi maisha ya dhiki.

Kama unataka ufanikiwe kwenye maisha never date poor woman. Hao ndio hujifanya Classic wakati hamna kitu.

Hata humu ndani wapo kibao lakini maisha yao ni yakuunga unga. Kama unajua kuongea vizuri hata usipotumia hela unapiga watoto wakali tena wanaojielewa sio hao Njaa kali. Wakuja Mjini wanaotetea kombe wasiondoke mjini.

Kuwa mjanja Mkuu. Ukiona unatumia pesa nyingi kuliko maneno ujue kuna sehemu unafeli na hutakuwa na maendeleo yoyote zaidi ya kuishi kwenye kigeto chenye Home thietre na visofa na kitanda.
Hata mi sijamuelewa anamaanisha nini anaposema watoto classic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yangu ni hii, maisha yanahitaji balance. Huyo mwanamke aise hitaji pesa hafai, kwanza hata mimi simtaki.. ila tuelewa ni uhitaji wa pesa za namna gani na kwa matumizi gani ndio issue ipo hapo, mie binafsi mwanamke wa kusema anaenda kwenye hali yoyote ya kimaisha huyo hajitambui na haelewi anachotaka. issue hapa tujue kwanini mwanamke anahitaji hela ? na nini athari usipo mpa mwanamke hela

Unaongea sahihi. Nazungumzia wale wanawake ambao pesa ni kipaombele. Sifa yao kuu ni Masikini wakutupwa na wanasilika ya umasikini.

Tupo sawa Mkuu. Ninachojadili ni kipaombele
 
Unaongea sahihi. Nazungumzia wale wanawake ambao pesa ni kipaombele. Sifa yao kuu ni Masikini wakutupwa na wanasilika ya umasikini.

Tupo sawa Mkuu. Ninachojadili ni kipaombele

Tupo pamoja mkuu, nimekuelewa vizuri, tulikuwa tuna tofautiana kwenye maelezo..
 
We jamaa una akili finyu sana

Sasa ushaambiwa "Ukweli Mchungu".....

Unadhani wanawake wanapenda vitu vichungu?

Tumia tu simpo logic hapo
 
Ukweli siku zote humweka mtu huru na kwakweli inapendeza pale unapokuwa mkweli lakini tambua kuwa ukweli una gharama zake na ndo maana unauma au ni mchungu.

Kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri, kama ukweli wako utamfanya ahisi kukosa maisha mazuri lazima akukimbie.

Kila mtu anapenda kumiliki cha kwakwe peke yake, kama ukweli wako utamfanya ahisi kutokuwa na uhakika wa kumiliki peke yake, lazima akukimbie rafiki.

Kila mtu hupenda kuishi kwa furaha na amani; kama ukweli wako utamfanya ahisi kupoteza amani ya moyo na furaha lazima akukimbie.

Kila mtu hupenda kuona matumaini katika maisha, kama ukweli wako utamfanya ahisi kupoteza tumaini maishani lazima akukimbie rafiki.

Hawakimbii kwakua wanapenda kufanya hivyo bali inawalazimu lakini pia hawapendi kudanganywa ila uongo hujenga hivyo vitu nilivyotaja hapo juu hata kama havipo.

DUMU KUWA MKWELI HATA WAKIKIMBIA WOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke unayemzungumzia hahitaji pesa.

Ngoja nikupe siri. Mwanamke anachohitaji kwenye maisha ni Uhakika na Usalama wake. Mwanamke anahitaji mwanaume anayejielewa kuliko mwenye pesa. Kwani pesa unaweza hata ukaiba au ukadhulumu lakini mwanaume akijielewa atakuwa mchapakazi na kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kumhudumia mwanamke.

Mtu anaweza akawa na pesa na bado asimpe mwanamke. Na chakushangaza ni kuwa wanaume masikini na wa tabaka la kati ndio wanahonga zaidi ya wenye pesa.
Huyo kijana ana tatizo kubwa mno.

Pesa itaweza kununua starehe ambayo hutokana na tamaa au extrovert/extrisit factors(likeness in beautiful girls, prostitutors/makahaba, famous ladies, rich women, etc) LAKINI kamwe pesa haitaweza kununua mapenzi ya dhati au introvert/intrisit factors(loveness, devout/Mcha Mungu, patience/torolence, faithfulness/decent women etc).

Aisee wewe umejua kuelezea Zaidi yangu. Heshima kwako.
 
Raha ya mapenzi ya watoto wa kibongo uwongo ndo matamu, unaangalia na status ya mdada alio nayo unampachikia mission ya uongo unazama tuuu chap na yeye anakudanganya pia mnatoka pasu pasu ngoma drooo.

Mapenzi ya ukweli achia wahindi tuuu, Ila bongo mpe pesaa mpe pesa bila kuchoka kama yupo under 25yrs, akifikisha 26+ apo ndo hawataki pesa ni ndoaaaaaa tangaza niaa tuuu utachoka nyapu zao

ghost rider
 
Hatufanani.Uwongo nauwepuka na unipitie mbali.sion mantiki ya kua mwongo.Je wewe unapenda kudanganywa?

Back
Top Bottom