Thanks lizbert but never ever judge by listening the one side. Mwanaume anampenda mmewe that is true but ni nini chanzo cha mwanamke kua hivyo? Alimuoa akiwa hivyo hivyo? Amedate Naye akiwa hivyo hivyo? Kitu ambacho hakiibgii akilini. Ninachojua tu kuna some point mwanamke ukimkosea kila Siku kwa kuchukulia advantage kua huwa anakusamehe matunda yake ni haya unabadilisha tabia yake mazima. Na ndo mana hawezi muacha mkewe ni km analipia madhambi yake.
Happy new year too mrembo, nimemisi hadithi yako sijui iliendelea?