Recent content by sam315

  1. sam315

    Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

    Aliyeleta mada kawafagilia kinoma sasa sijui ni TTCL ipi anayotumia yeye 🤣
  2. sam315

    Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

    Kupanuka mawazo ni jambo jema sana... mtandao ni mtandao tu. Ni sawa na maji ya kunywa, kuna Uh*i, H*ll, Masaf*, K*limanjaro... yote ni maji tu.
  3. sam315

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habari wakuu? Poleni kwa majukumu ya ujenzi wataifa. Natafuta mshirika (partner) ambaye tutaweza tukafungua kituo cha kufundisha tuition, QT, resitters, english course pamoja na computer. Mimi nimefundisha vituo tofauti tofauti kwa muda mrefu nimeona muda sasa umefika nami nijisimamie. Masomo...
  4. sam315

    Hii ni nyumba ni ndogo mno ukichemsha utumbo inabidi ufungue madirisha

    Chumba cha wanachuo hicho... kipo kama hiki nmewahi fika hapahapa mjini 😂 Na mademu kila siku wanapishana hapo :cool:
  5. sam315

    Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

    Haya ndio maneno. Ukikata tamaa ama ukisema haiwezkani bhas inabaki hivyo hivyo. Mm nimeshahangaika sana kutafuta maisha ingawa sijafka napotaka lakini nimekuwa stronger, brighter and better. Big up brother hatuna namna zaidi ya kukomaa. Tuko pamoja
  6. sam315

    Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

    Mkuu... hauko peke yako. Wapo vijana wengi tu wana hiyo hali na wengine wamekata tamaa na kujiingiza kwenye tabia hatarishi ama wengine kujidhuru. Shukuru MUNGU kwa kuwa una akili timamu mpaka umeona hiyo hali siyo ya kawaida. Mimi kuna mtu namfahamu tangu ana 2011 anajitahidi kutoboa lakini...
  7. sam315

    Natafuta mfanyakazi wa ndani aliesoma IT

    Hello... hii nafasi bado ipo?
  8. sam315

    Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

    Duuuh pole sana mkuu ila ninapata mashaka kuwa kabla hiyo ndoa haijafungwa kuna mambo hayakuwa tayari... sijui its just my intuition ila kwa maelezo yako naona kuna mambo hayakuwa yamekaa sawa upande wa bond baina yako na huyo mwanamke. Me sikuwepo ila I have strong doubt... pole mkuu cha msingi...
  9. sam315

    Mature lady karibu kampani iko hapa

    Hello wa JF Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar. Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka (kifupi aliyenizidi umri). Naamini wapo wanawake ambao wanahitaji mtu wa kuwasikiliza, kuwabembeleza...
Back
Top Bottom