Recent content by sam shami

  1. sam shami

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Hotuba zenye ladha murua kabisa Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
  2. sam shami

    JamiiForums Tanzania Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

    Haaaaa
  3. sam shami

    JamiiForums Tanzania Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Zanzibar ndio kwao aligombea akapata kura 50 hapa kino atapata kura tano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. sam shami

    JamiiForums Tanzania Dr Shika amekamilisha leo malipo ya bima kwa ajili ya kutumiwa fedha zake kutoka nchini Urusi

    Jamani umasikini mbaya, kumbe Dr shika ana miaka 48 tu lakini anaonekana kama mzee
  5. sam shami

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Huyu mzee asaidiwe kwanza apate uhakika wa milo mitatu akili ikae sawa atasema mengi
  6. sam shami

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Chadema ni taasisi ya wamachame inayojihusisha na ujasiliamali wa kisiasa pamoja na utakaso kwa mafisadi, wao ndio wanaamua nani msafi na nani mchafu
  7. sam shami

    JamiiForums Tanzania Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

    Kila mmoja ni shujaa wa wakati wake, lakini niko na ghadafi mwanafunzi mtiifu sana wa gamaliel nasser mkombozi wa waarabu na baba wa suez canal
  8. sam shami

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    Sumaye kama waziri mkuu mstaafu hana mandate kinidhamu kuyasema haya
  9. sam shami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

    Weka gari dhamana upate mkopo wa dharura Piga 0657572398
  10. sam shami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

    Demu unakuwa naye Ukimpa mimba hata kama ana kazi utasikia mimba tunaileaje? Hahaha
  11. sam shami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

    Aaaa wapi, ni ngumu kabisa kabisaaaaa
  12. sam shami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Wewe ni fala....sema ndio alafu nakushauri kumwaga haraka.....hahahaha
  13. sam shami

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Namshauri mh raisi asilegeze, dhahabu siyo nyanya useme itaoza, migodi ifungwe hadi walipe hiyo pesa
  14. sam shami

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tunatoa mikopo ya dharura kwa dhamana ya mali yako Piga 0657572398
Back
Top Bottom