Recent content by SAM nicheck

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake nao wapaza sauti zao kuhusu uteuzi wa MA -DAS

    Unaposema Dunia ndivyo inavyo taka ni vema ukatoa References ya nchi zilizo endelea na jinsi zilivyo itumia hyo asilimia 50% kwa 50% katika teuzi mbali mbali na jinsi ilivyo tekelezeka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Unachopaswa kujua kuhusu Ushoga

    Ipo poa sana, sasa wewe unae quote text ndefu hv afu una comments vimistari viwili tu lengo lako ni kutusumbua ku scrow down au?
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajuaje kanipenda kiukweli?

    [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] kama UKAWA
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwalimu Nyerere UDSM, kwanini wanatumia Kiingereza?

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  5. S

    JamiiForums Tanzania Original Battery ya laptop DELL INSPIRON N5040

    Pia Binafsi nasubili Majibu hapa maana na mimi ni mhanga wa hili tatizo the same Dell
  6. S

    JamiiForums Tanzania How to buy domain for blog

    Thanks Chief-mkwawa
  7. S

    JamiiForums Tanzania How to buy domain for blog

    kwa sasa nipo morogoro baada ya uchaguzi ntakuwepo DAR,
  8. S

    JamiiForums Tanzania How to buy domain for blog

    kwa sasa nipo morogoro baada ya uchaguzi ntakuwepo DAR,
  9. S

    JamiiForums Tanzania How to buy domain for blog

    nina blog yenye jina NYIMBO ZA KRISTO sasa hapa nataka iwe inaitwa nyimbozakristo.com je inawezekana nikaipata na bei yake inaweza range ngapi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania How to buy domain for blog

    Naomba mnisaidie jinsi ya kununua domain ya blog yangu kwa kutumia local method yeyote inayowezekana maana sina account ya bank inayoweza kufanya online transaction nataka niwe na ........com ssiyahitaji maneno ya .blogspot.com
  11. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku design matangazo

    Lengo ni matangazo ya kwenye website au blog, hata banners kwa ajili ya kubandika ukutani kwenye maduka au saloon na vinginevyo, matangazo yenye layer tofauti tofauti za picha n.k
  12. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku design matangazo

    Thanks mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku design matangazo

    Hellow JF member naomba kwa wenye ujuzi wa hii maada tuelimishane. nawezaje kutengeneza tangazo Mf nataka kumnadi msanii liwe na annimation na graphic nzuri then nitatumia software gani au kama kuna sehem kuna video tutorial naomba link yake: Best regard
  14. S

    JamiiForums Tanzania All unlock codes here order now 100% money

    Where are u give me ur location please, then can you unlock my huawei ascend y 300 of tigo please name the price for service
  15. S

    JamiiForums Tanzania Laws of leases

    Help please for anyone having material facts or judgement of the case of ANRATLAL DAMODAR AND ANOTHER VERSUS A.H JARIWALLAH ZANZIBAR HOTEL (1980) TLR 31, Help for a material fact link or book that detailed it
Back
Top Bottom