Nitajuaje kanipenda kiukweli?

Nitajuaje kanipenda kiukweli?

akikujali katika hali zote kama alivosema jifanye umepoteza hela af uone kama atasaidi bill au atakupa strength
 
upendo wa kweli kwa mwanamke unapimwa pale mwanaume wake anakupokuwa hana ela pia upendo wa kweli wa mwanaume kwa mwanamke unapimwa pale mwanaume anapokuwa na ela
 
Naomba kuuliza jamani mahana hawa wanawake nashindwa Ku waelewa hiv tabia ama matendo ya mwanamke anae kupenda kiukweli niyapi? na muongo ni yapi?
Mahana ndo nini?
 
Mwamkie shikamoo akisema marahaaba basi anakupenda..
Hahahahaha jamiiforums raha sana kwa kweli

Yaani raha ambayo huwaga naipa humu ndani

Ni kama vile raha ninayoipataga nikiwa nagegeda demu pindi nikaribiapo kutoa wareno
 
pia ukiona mwanamke wa kiafrica Huna ela na unarudi nyumbani mkeo anakupokea kwa furaha na amani ipo ujue yupo mtu anaegharamikia amani ya nyumbani kwako
 
Anaekupenda lazma akuombe hela, asipokuomba hakupendi huyo achana nae mtoe nduki
 
Naomba kuuliza jamani mahana hawa wanawake nashindwa Ku waelewa hiv tabia ama matendo ya mwanamke anae kupenda kiukweli niyapi? na muongo ni yapi?
jitupe toka ghorofa Ya 3 hivi akiweza kukudaka anakupenda! Akikukosa tu ukatua chini hakupendi
 
Naomba kuuliza jamani mahana hawa wanawake nashindwa Ku waelewa hiv tabia ama matendo ya mwanamke anae kupenda kiukweli niyapi? na muongo ni yapi?
A human being is the most complex animal on the world....! You can study even a snake/lion and understand their behaviors for 100%...! But not a human being, particularly a woman...!
Just a simple formula is that; never get married to someone because you have fallen to, but because you think she/he have fallen to you the most...!
But common principles we normally fail to consider are;
  1. that it is very difficult to identify a good friend during good times, and then we struggle for good times first before we appoint our permanent friends...!
  2. that uniform altitudes are the other best tool for friendship to survive longer, and we normally ignore our altitudes in building relationships
  3. and many more
so, don't waste your time, because it will tell you how a good friend for you looks like....!
 
Back
Top Bottom