Recent content by Sam next

  1. Sam next

    Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

    Kuja mtu anatokwa na povu humu atakuwa katumwa aje aangalie upepo na huku,,,,,,kamwambie hamtumtaki sio ngumi hapa
  2. Sam next

    Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  3. Sam next

    Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

    Malinzi akaendeleze fani yake aachane na mpira wetu
  4. Sam next

    Matani WANAUME V/S WANAWAKE

    Wanawake wakikunja ngumi wanatanua mikono
  5. Sam next

    Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

    Ila kiukweli mapenz ya ofisini yanakuwaga matamu xna
  6. Sam next

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Kiukweli me mwenyewe nilikuwa miongoni mwa wafata mkumbo ila kiukweli binafsi nmeanza kumuelewa Makonda ni mtu wa aina gani
  7. Sam next

    Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

    Wewe mwenyewe konokono hakupendi sema tu hana jinsi ya kukufanya ila angekuwa ana uwezo mbona kitambo tu angekuwa keshamalizana na wewe
  8. Sam next

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  9. Sam next

    Waziri Mwigulu Nchemba apiga marufuku safari za nje kwa wote waliotajwa kwenye sakata la mchanga

    Hahahahaha!mkuu kwahiyo wee unafikiri mwigulu mamlaka yake yapo polisi na Magereza tu!?au labda unafikiri nani ni waziri gani mwenye mamlaka ya Ofisi zinazotoa passport?
  10. Sam next

    Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

    Me kwahili naomba tumuunge rais mkono ili tuokoe tulichoibiwa kwanza mengne hayo tutakutana majukwaani ila sasa tupganie hili pamoja kuomba vyombo vinavyohusika kuwashugulikia hao waliotajwa kweli kweli isiwe tena changa la macho
  11. Sam next

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Kiukweli toka uvunguni mwa Moyo wngu leo ndo nmemuelewa rais wetu magufuri ukiacha kipindi akiwa waziri wa ujenzi,mungu akutangulie rais wngu na ntakuombea cku zte
  12. Sam next

    Kwanini wanajeshi wanaita kazi za polisi ni za kike?

    Polisi anafundishwa kuishi na RAIA kwa kutumia akili na umakini xna ila wana jeshi wao wanafundishwa kuishi porini kama wanyama sasa ni vigumu xna kuwalinganisha cz kila MTU Ana majukumu yake,but polisi ni rahisi kuelewa hiyo akili ya babu yako but mwanajeshi sio rahisi kuelewa babu yako anawaza...
  13. Sam next

    Taja vitu ambavyo havijawahi kumwacha mtu salama katika mapenzi

    Kutembea na house girl au house boy
  14. Sam next

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom