Taja vitu ambavyo havijawahi kumwacha mtu salama katika mapenzi

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Toka kaskazin mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi naomba niwasalimu wana MMU wote!
Bila shaka kichwa cha habari kimesheheni maudhui ya matini hii.Nianze kwa kuorodhesha baadhi ya vitu hivyo ni;
1)Ubahili
2)Uchafu
3)Papuchi nadhifu haijawahi kumwacha mwanaume salama hata akiwa dume suruali kias gani lazima ajipigepige
tu
Ongezeni mambo mengine
 
Mke mchafu.....

Mke mwenye kelele...

Asiyejua kupika....

..... Habaki salama asilani
 
Toka kaskazin mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi naomba niwasalimu wana MMU wote!
Bila shaka kichwa cha habari kimesheheni maudhui ya matini hii.Nianze kwa kuorodhesha baadhi ya vitu hivyo ni;
1)Ubahili
2)Uchafu
Ongezeni mambo mengine
Mazoea ya kwenda kunjunjana ghetoni kwa demu.

Siku anaemlipia kodi akija walahi hutabaki salama
 
Back
Top Bottom