Recent content by sam magesa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msajili awaita Lipumba na Seif

    Anamwiita maalim aende kama nani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania CUF ya Lipumba wakiri kutuma watu kwenda katika Mkutano Vina Hotel

    Kwann walianza kuwashambulia watu na kupiga watu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Muda mwingi wapo kwenye kampeni za ccm malipo zero hizo movie nzuri wataanda saa ngapi hadi Mimi nikae chini niangalie bongo movies kazi kukalia ufusika na umalaya tu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ipo haja Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wa Pwani wawe wanajeshi

    Ni kweli mkuu maana ni ajabu unakuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa/wilaya huku hujui smg ina machaguo mangapi ya kupiga[emoji9] [emoji9] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu naliona bunge la 11 kuwa la kihuni sana tena sana

    Wee nani kakwambia tumekubali!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

    Povuuu la nn sasa!!!au weee inakuhusu nn yeye akiandika hivyo au unataka kumpangia cha kusema
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ongezeni Peter Kibatala na John Mallya tusipigwe bao EAC

    Hapo ili waweze vizuri wampeleke halima mdee na akina wenje na masha cz halima Jana c kawatibua kwahiyo lazima wampige chini halima halafu washikaji wte wapete
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hii 1/3 inayotajwa na Katibu wa Bunge,ni uwakilishi wa Tanzania EALA au kutoka vyama vya siasa?

    Na wewe ya cdm na cuf waachie wenyewe
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Unamshauri afanye nini?

    Mimi ili kukata vilimilimi vya watu ni ngeonyesha vyeti vyenye jina lngu ili niwathibitishie kuwa jina nalotumia na vyeti sio vyangu,Hahahahaha bashiteeeeeeee3ee
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli akubali yaishe maisha yaendelee

    Anaetucheleweshea maendeleo ni jecha salum jecha baada ya kufuta matokea ya uchaguzi zanzibar
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lini Serikali itajenga barabara ya Makongo-Goba

    Kesho
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Paul Makonda watofautiana

    Tunataka vyeti vya bashiteeeeeeee
Back
Top Bottom