CHADEMA ongezeni Peter Kibatala na John Mallya tusipigwe bao EAC

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Wanaukumbi,

Kama shida ni uchache wa wagombea wa CHADEMA, kwa kuwa sioni ushindani wa wabunge walioteuliwa napendekeza majina tajwa hapo juu yaongezwe.

Ni maoni tu

N.B
Wabunge wa ccm wameweka itikadi mbele kuliko utaifa...ndani yao sikutegemea wamchague Kimbisa wamuache Macha aliyejieleza vizuri

Tegemeo la watanzania kwa sasa no watu wawili toka Chadema,baada ya saba waliochaguliwa kuonekana bado sana.
 
Havi Tundu Lissu kanuni hazimruhusu kugombea?

Kama kanuni zinaruhusu, napendekeza hilo jembe liongezwe (yawe majina 3) hapo lazima ccm wawachague waliowakataa tena kwa kura za siri na ndiooooooo
Mkuu umewaza mbali sana.
 
Mimi Kibatala nimeanza kumpendekeza tangua jana nilivyoona zile figisu,tafadhali chama kilifanyie kazi hili jambo.Kibatala is the best choice.
 
mbowe hamjamuelewa nyinyi, kamaanisha hivi hakuna mtu mwingine anayeweza kwenda ela afe kipa afe beki. mpeni pressure aengeze majembe mengine mbona yapo kibao! kina safari, baregu, salum mwalimu, etc
 
Hapo ili waweze vizuri wampeleke halima mdee na akina wenje na masha cz halima Jana c kawatibua kwahiyo lazima wampige chini halima halafu washikaji wte wapete
 
Back
Top Bottom