Mazingira yanaonesha hako katoto kalifanya hivyo kwa hiari ndo maana miguno ilikuwa ya mahaba badala ya kelele za kuomba msaada. Tena kalitafuta chumba bila shurti. Nadhani wangefungwa wote kwa kukubaliana kuvunja Sheria.
Wananchi tumehamasika kufanya kazi ili tujitegemee kama serikali inavyosisitiza. Nyie mnaotarajia kupata riziki kupitia CHADEMA fanyeni hiyo mikutano. Sisi hasa mie sishiriki mpaka 2020 maana hizi ni porojo poteza muda tu. Eti
Kuzira ni sawa na kufukuzwa acheni bhana,
Watanzania ifike mahali tuache kuegemea upande hasi katika maamuzi ya serikali. Hata katika familia kama watoto wanapinga kila kazi anayofanya mzazi, maendeleo hayatapatikana. Tumwachie miaka yake mitano; tusijichanganye wala tusimkatishe tamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.