Habari wapendwa,
Nilikuwa naomba kuuliza kwa credit za masomo haya naweza kusoma course gani chuo kwa ngazi ya diploma?
KISW - D
ENG - C
GEO - D
CIV - D
CHEMI - D
PHY - F
BIO - C
MATH - F
RELIGION - C
Habari wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikiishi nae huyu rafiki angu kama mdogo wangu wa karibu sana ila jambo alilokuja kuniambia leo na kunambia nimpe ushauri kidogo nilisita na nikamwambia anipe mda nitamjibu.
Picha ipo hivi: Ni kijana wa miaka 22 - 25 ametokea kupendwa na msichana ambae ni...
Ni movie ilichezwa katika nchi ya S.AFRIKA inayohusu wazungu wawili wapigania uhuru katika nchi hiyo jinsi walivojitahid kupambana na mwisho wa siku kuishia gerezani PRETORIA gereza kubwa huko S.AFRIKA..Ni movie nzuri sana na uzuri wake unaonekana pale majamaa wanavyopambana hadi kutoroka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.