Jkt tunawashukuru sana kwa kuendelea kutufunza uvumilivu. vijana tusiwe na wasiwasi ndani ya hii depo hom nafasi za ptz, magereza, tanapa, jw zikitoka ztakuja humhum home, AU MMEMISI KULIMA
shidah ya mleta uzi wa mara ya kwanza ambaye n Nkanga aliweka muda karibu sana et february so akaona aje atengue kauli yake coz mambo ni hadi june baada ya budget
My take Serikali haina pesa hadi kupelekea wauguzi kugoma kutokana na kutolipwa mishahara yao mienzi miwili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.