Recent content by salt7

  1. salt7

    Hivi Hotel Verde Zanzibar inauza pombe kweli?

    Mapadre wetu hutumia kilevi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. salt7

    Kasulu, Kigoma: Watu wanne wa familia moja wauawa kwa kukatwa na panga

    Mwongozo mzuri. Maana polisi / jamii wanaweza kuishia kusema ni imani za kishirikina tu bila upelelezi wa kina Sent using Jamii Forums mobile app
  3. salt7

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Since when? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. salt7

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Inasikitisha sana kuona fursa kama hizi hazikamatiki kirahisi kwa sababu ya sera mbovu mbovu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. salt7

    Tuache uongo, jela zina kila aina ya watu, nimejionea na kupewa maelezo

    Nilijua tu hutaweza kumjibu kwa hoja umekurupuka sana kajipange uje tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. salt7

    Muongo Mpya 2020-2030 unaanza leo!

    Kwa namna hii unakuwa na malengo yanayotimizika. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. salt7

    Erick Kabendera alivyopokea taarifa kifo cha mama yake mzazi

    Kakosa utu, hata neno la faraja anakosa kinywani kwake. Bora angekaa tu kimya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. salt7

    Erick Kabendera alivyopokea taarifa kifo cha mama yake mzazi

    Mwambie huyo hajielewi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. salt7

    Polisi wafunga mitaa Arusha, RPC Shana Aonya

    Uhalifu upi? Kwani kuna siku maalumu ya uhalifu ambayo ni mkesha wa kuingia mwaka mpya? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. salt7

    Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. salt7

    Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Almost mkuu, ni vile sikutaka ligi naye Sent using Jamii Forums mobile app
  12. salt7

    Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

    Pole sana mkuu. Miaka ya 2007 nilimnunulia ndugu wa mbali gari ili aitumie kama taxi lengo kuu ni kuisaidia familia ya kwao maana walikuwa na hali ya chini sana kiuchumi. Tulikubaliana kiasi fulani kiwekwe bank kwa ajili ya running costs kama insurance n.k. alifanya kwa miezi tu baadae...
  13. salt7

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    momara, Nakushauri upite jukwaa la biashara kule wamechambua vizuri biashara mbalimbali ambazo zitakupa mwongozo mzuri. All the best!
  14. salt7

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Umemwambia ukweli, binafsi huwa siamini mtu anayeweka miwani kwa juu hata awe na umri sawa na wa baba yangu
Back
Top Bottom