Polisi wafunga mitaa Arusha, RPC Shana Aonya

Polisi wafunga mitaa Arusha, RPC Shana Aonya

Wee unataka tanzania ipate maafa yasiosahaulika hawa wakienda huko nje labda wakawe security wa kawaida tena wasiopewa silaha
Unachoweza wewe, mwenzio hashindwi kikubwa ni kuwezeshwa vifaa tu.

5/5
 
Unazingua,
Unataka wasioneshe uwepo wao kisha wahalifu wapate moyo wa kufanya uhalifu uje uwalaumu humu mitandaoni Polisi hawafanyi kazi yao.
Kwani wakivaa hayo mavazi, wakaandamana wenyewe kama hivyo walivyofanya bila kumvamia raia mwema wewe wanakudhuru nini?

Sio kila kitu unakimbilia kulaumu. Ni bora wawatishe wahalifu waogope kujaribu uhalifu kuliko wanyamaze wasubiri kuzima tukio na silaha huku hao wahalifu wakiishia jela au mortuary. Kwa kufanya kitisho wame waokoa watu na mali zao.
Halafu wanaolaumu kila kitu hawa wakivamiwa na vipanya road wanageuka kuwa wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda anataka naye aonekane yupo na kuandikwa magazetini na kuoneshwa kwenye TV. Mikoa mingine hakuna man'gwenyeng'wenye hayo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ikikosa vita haya ndio matatizo yatayojitokeza, wanatafuta pakuvalia hayo manguo hawapapati, wanatafuta pakurushia hayo mabomu hawapapati, matokeo yake watayarusha kwa wananchi wanaoshangilia mwaka mpya!.

Wapelekeni huko nchi za watu wakatulize ghasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nyie yakitokea matukio mnaanza kulalamika polisi walikuwa wapi

Tunda la roho ni upendo
 
Unazingua,
Unataka wasioneshe uwepo wao kisha wahalifu wapate moyo wa kufanya uhalifu uje uwalaumu humu mitandaoni Polisi hawafanyi kazi yao.
Kwani wakivaa hayo mavazi, wakaandamana wenyewe kama hivyo walivyofanya bila kumvamia raia mwema wewe wanakudhuru nini?

Sio kila kitu unakimbilia kulaumu. Ni bora wawatishe wahalifu waogope kujaribu uhalifu kuliko wanyamaze wasubiri kuzima tukio na silaha huku hao wahalifu wakiishia jela au mortuary. Kwa kufanya kitisho wame waokoa watu na mali zao.
Uhalifu upi? Kwani kuna siku maalumu ya uhalifu ambayo ni mkesha wa kuingia mwaka mpya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAfurahia wafanyakazi wangu wanaolipwa kwa kodi yangu wakirandaranda mtaani kunionyesha kuwa wanaiweza kazi tuliyowapa! Safi sana mkiweka jitihada zaidi tutawatoa kwenye vile vibanda vya bati nanyi angalau muwe watu kati ya watu!
 
Unazingua,
Unataka wasioneshe uwepo wao kisha wahalifu wapate moyo wa kufanya uhalifu uje uwalaumu humu mitandaoni Polisi hawafanyi kazi yao.
Kwani wakivaa hayo mavazi, wakaandamana wenyewe kama hivyo walivyofanya bila kumvamia raia mwema wewe wanakudhuru nini?

Sio kila kitu unakimbilia kulaumu. Ni bora wawatishe wahalifu waogope kujaribu uhalifu kuliko wanyamaze wasubiri kuzima tukio na silaha huku hao wahalifu wakiishia jela au mortuary. Kwa kufanya kitisho wame waokoa watu na mali zao.
hahaaa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ma-- huwa wanaishia kulinda kwenye maduka ya wahindi au kwenye mitaa iliyochangamka ambayo wana uhakika mwizi au kibaka mzoefu hawezi kuwepo!! Huwezi kuwaona wakienda kulinda kwenye zile point zenyewe za makomandoo wenzao, kama hapo tu bongonyoo au jirani na hapo bom-bom!! Jioni hii tu vibaka walikuwa wanajifua hapo mitaa ya samunge kwa ku kwapua hapa na pale na hao korokoroni walipita mbio wakiwa kwenye gari yao wamejifunika na turubai!! Hao tupa kule!!
Nguchiro kweli ww kwani waliajiriwa kwaajili ya kupigana nchi za watu?
Mkikabwa mitaani hamuishi kulalamika mbaya zaidi hata kujitetea wenyewe hamuwezi, vitoto viwili vikiwatishia kidogo mnafarakana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom