Recent content by Salman raj jetha

  1. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Alafu mbona VODA tuuu kwani AIRTEL nae vipi si anazile router za 5G mbona haziongelewi hapa wakuu
  2. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Kipi kilisabisha mkachapwa Darasa zima kipindi unasoma?

    Dah darasa la saba nikikumbuka walikuja walimu ambao walikuw ni wanajeshi baada ya kubadilishwa kwa mkuu wa shule akaja huyo mbibi ndo akaleta sijui hao vijana wake oya sio poa ukisikis WIFA WINYA WIFA WILOLA sio poa walivokuja wakasema mnakubali kushilikiana wauni tukajibu Ndiooooo ndioooooo...
  3. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Pwani na Dar wapata Upungufu wa Maji kutokana na hitilafu ya Umeme Mtambo wa Ruvu Juu

    Ivi maji ndo yanazalisha umeme au umeme ndo unazalisha maji ?? Mbona mmeniacha wakuu
  4. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Filamu za kichawi zinaharibu watu kisaikolojia

    Kwahiyo hata horror movies za Hollywood tusiangalie na THE NUN ilivokuwa tamu
  5. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Nikimkumbuka mwanangu KIBELE na IZZY na kesi za utapeli nacheka sanaaaa kwenye kubeti tuu na kununua mikeka kudadeki 328k shwaaaa kama utani unamjua nani uyoooo MICHAEL BETTING STAR anakwambia anampiga muhindi kwake cio p Jichanganye sasa ukiingia INSTA MSHUA KABISA lkn real life anadhiki balaaaaa
  6. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Xie Xiamao aka Celine, amehukumiwa kulipa faini Tsh. milioni 2 kwa kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na kibali

    Kutoka na reference ya GEMINI AI Adhabu kwa Mtanzania anayekamatwa akisambaza au kuuza magendo nchini China itategemea mambo kadhaa, kama vile aina ya bidhaa haramu, kiasi cha bidhaa, na kama kuna hali mbaya zinazohusiana na kosa hilo. Kwa ujumla, adhabu zinaweza kujumuisha: * Faini: Faini...
  7. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Hasara za Wanafunzi Kufundishwa Maisha ya Panzi na Revolution of Man Badala ya Fani na Niche Zao za Ndoto: Kuna hasara kadhaa za wanafunzi kufundishwa maisha ya panzi na 'Revolution of Man' badala ya kufunzwa fani na niche zao za ndoto au fursa zilizopo baada ya kutoka mashuleni: 1. Kukosa Ujuzi...
  8. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  9. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Rushwa katika Utoaji wa Tuzo za Sanaa hushusha thamani ya Tuzo husika

    Kwa maoni yangu juu ya hilo kwa kuanza na VYANZO VYA RUSHWA pamoja na namna inawezekana ikadhibitiwa(SOLUTION) SOURCES 1.Ugumu wa Ushindani: Katika tasnia ambazo kuna ushindani mkubwa kwa fursa za kazi au tuzo, watu wanaweza kuwa na hamu kubwa ya kutafuta njia za kutenganisha au kupendelea...
  10. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi usio na mantiki umewahi kutana nao kwenye Bongo Movie?

    Kwa upande wangu sio kila movie itakuwa na reality unayoitaka katika maisha ya kawaida mfano katika filam za wenzetu unakuta mtu anatoa moto 🔥 ambao kiukweli katika maisha ya kawaida haiwezekani yote hiyo ni njia ya kuwakilisha wazo na kufikisha ujumbe katika jamii
  11. Salman raj jetha

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi usio na mantiki umewahi kutana nao kwenye Bongo Movie?

    Mawasiliano yako tafadhali tunahitaji watu kama nyie wenye mitazamo chanya ya kubaini matatizo na kwenda kuyatatua
Back
Top Bottom