Biashara ya Internet mtaani

Biashara ya Internet mtaani

Hapo kwenye router+wire+pc, inamaanisha utakuwa na router mbili; yaani ya vodacom kama ISP na ya tp-link kwaajili ya ku control trafic? Ufafanuzi tafadhali.
Asante.
Alafu mbona VODA tuuu kwani AIRTEL nae vipi si anazile router za 5G mbona haziongelewi hapa wakuu
 
Mmnl

Nilianza WiFi business Yakuuza mtaani na 370k bas inawezekana niuli

Sasa

Ukitaka kufanya biashara ya WiFi tumia WiFi management system+vifaa + location nzur hapo umeua
Mkuu habari namba yako uliyotoa ya WhatsApp haipatikani nimejitahidi sana hauko hewani.
Vile vile PM nashindwa kukufikia tunafanyaje!?
 
Hio biashara inahitaji mtaji si chini ya 1m kwa location 1 ili uwapate watu wengi

Access ya internet unatumia kampuni ipi
Wifi management system unatumia vifaa vipi vya kugawa gb n.k

Access point,router

Ukitaka kuunganishwa nitafute 0710599055
 
Unaweza ukacharge kwa BUKU au ukaweka subscription business model kwa kuwacharge kwa siku 30. Unaweza uka apply decoy price kwa kuvuta wateja kwenye gharama kubwa ili upige kibunda kila mwezi, mfano unaweza sema:

1. Kwa siku 1000(Mteja anaona kwa mwezi 30k)
2. Kwa siku 30 weka 20k(Mteja anafanya comparison ya 30k, ko anaona nafuu sana anaish umo)

Kwa kuwavurga uko unajikuta unakunja kibunda kila mwezi kwa wateja kukwepa buku buku za kila siku.
Asante mkuu ila nigependa kuanza iyo biashra kwa ya internet je unakuwa una wakika gan kwamba umepata wateja 64 ndani ya MITA 200 kwa kutumia router mtandao utakuwa sawa haitakusumbua mtandao milele wakati mm kwa uelewa wangu navyojua sana utaweza kuunganisha watu 64 spend inaounguwa kutokana na wezo wa router na modern ulifunga au Kuna binu tofauti Ile uweze kufunga na kuongeza speed kwa kutumia router Moja
 
Back
Top Bottom