Recent content by salluh

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wenye asili ya Kihindi wanakuwa na' shule za Kihindi'?

    Dah huu uzi nauogopa..umejaa ubaguzi...yani kusoma shule yenye watu wa aina fulani pia inatafsiriwa ni ubaguzi? Waacheni wasome bwana..ni ubora tu wa elimu...mbona al muntazir na mzizima wabongo wamejaa...hawakatazwi...kaka wacha chuki.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taazia: Ebby "Ebrahim" Sykes, 24 Februari 1952 - 15 Februari 2015

    Nimefurahi sana kuwaona hawa wazee wangu wa Ilala, shagoo ameniambia kuwa jana mlikuwa pamoja kwenye khitma ya ebby na ukamuelezea kuhusu comment yangu, kwa ufupi mimi ni kijana wake na wamenilea sana hawa wazee wangu pamoja na mzee boi ambaye tulikuwa hatutoki kwake kuangalia premier league...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taazia: Ebby "Ebrahim" Sykes, 24 Februari 1952 - 15 Februari 2015

    Pole sana uncle sydeny....Allah atupe mwisho mema Inshallah...kila siku nikikaa na rafiki yako shagoo wa Ilala huwa namwambia kwamba namhusudu sana Mohammed Said...wish to meet u one day Inshallah.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    Hahaha...hawa jamaa wanaogopa kweli wakiskia mahakama ya kadhi...utadhani wameskia AL QAEDA...au AL SHABAAB.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

    Pumba tupu...nakuonea huruma kama si kukucheka.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Kwa hiyo unakubali kuwa hiyo technique inatumiwa na wafuasi wa wamissionary?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Waliwafanya mpaka waafrika wakawa na msemo akikupiga kibao mgeuzie na shavu lingine.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Kweli kabisa hujakosea walitumia sana wamissionary ili kutimiza malengo yao.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Sikifahamu naomba unifahamishe.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Wahitimu wa Muslim University of Morogoro wote wanapata ajira bila usumbufu, wengi wao wamejaa Immigration, mifuko ya hifadhi ya jamii, mabalozini, mawizarani na bila kusahau walimu waliojaa mashuleni...na zipo fununu kuwa wahitimu hao sasa hivi ni keki sababu kubwa ni uaminifu wao na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    proisra Munachonifurahisha ndugu zangu wa upande wa pili ni waoga sana, sikilizeni niwaambieni ndugu zangu. 1. Hii Mahakama ya kadhi haitawahukumu nyinyi musiokuwa waislam na pia haita deal na criminal cases kama munavyozusha baadhi yenu eti watu watakatwa mikono.etc. 2. Kesi zinazohusu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    "Enjoy your life" by Aidh al qarni.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzanian firms feud over brand name in Rwanda

    In Rwanda there is a law known as THE COMPETITION AND CONSUMER PROTECTION ACT, this law aims at encouraging competition in the rwandan economy by prohibiting anti- competitive trade practices; and regulating and monitoring monopolies and concetrations of economic power, in order to strengthen...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tanzanian firms feud over brand name in Rwanda

    Tunakubali kwamba alichofanya bakhressa ni kutumia fursa iliyojitokeza, lakini pia unatakiwa ufahamu kuwa alitumia fursa hiyo akiwa na bad faith, hakuwa na nia nzuri, na pia alichokifanya ni against fair competition.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tanzanian firms feud over brand name in Rwanda

    Jamani mi nawapa tahadhari kabisa..msije mkasema sijawapa...wale wenye ng'ombe mbili au tatu mukae chonjo..bakhressa kashakuja na maziwa hataki watu wa hali ya chini mupate rizki zenu.
Back
Top Bottom