bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Bakhresa kafanya uhuni,hizo ni fitna alikua anajua kua Azania ana mikakati ya kuinvest Rwanda so akaamua kucheza rafu kwani anajua fika azania ni brand ya nani.
interesting...
Muungwana Minuz, ujio mwema Kwa heshima na Taadhima kwako, Mkuu usione aiybu katika imani yako, au kustahi kujitambulisha Dini yako... Hakuna wa kukuhoji au kukuzidishia au kukupunguzia ..just be Fair with your FAITH !! Mwenyeezzi Mungu siwakuonewa haya!!
kipendacho roho yako chukuwa mkuu..... Lakini kukwepa dini ni ujahili!!
Kwa hiyo yeye hana control ya kampuni yake?
Inaweza kuanzisha gazeti la kumchora mtume katuni akaachia tu?
Guys this how businessman supposed think and act faster,biashara ya leo imejaa ushindani ukilala umeliwa,
This kinds of wrangles happened btn apple and sumsang, microsoft and ibm, bakharesa na METL etc. etc. hizo ni mojawapo ya mbinu za kusurvive kwenye biashara especially when competition is stiff..
Kule kenya brookside inauwa competition kwa kuwanunua rivals.
This is dog eat dog world if you're the puppy you die.
Bakhressa selfish sana. Haikuwa vizuri kufanya hivyo. Azania angeongeza herufi moja kwenye brand yake na kuwa "Azzania"
Wewe the boss umeset autocomment au? Manake kila post comment yako ni "interesting..."
Huyu bakhressa ni mtu hatari sana katika jamii, serikali zote duniani zinahamasisha fair competitition in business, lakini yeye yupo against, anataka kuhodhi kila aina ya biashara, katika hii kesi bakhressa anajua kabisa kuwa unga wake wa ngano hauna quality ya kushindana na unga wa Azania, and thats why akaamua kumuharibia Azania ndani ya Rwanda.
Ninaamini mahakama itafuata haki na kuirudisha brand name ya Azania kwa Mikoani Traders Ltd.
Jamani watu tuamke bakhressa kila kitu anataka kuhodhi yeye hawaonei huruma hata wamama wajane ambao biashara zao ndogondogo bakhressa pia amehodhi..tuamke jamani..wake up gays..this man is dangerous.

sure iseee wamama kitaaa wana tweta, hadi chapati anatengeneza gadem!!! alikua kwenye unga wa ngano na juisi na sasa kashaingia kwenye maziwa!!!
Katika biashara, ya aina yoyote ile, ni lazima umpiku mpinzani wako kibiashara. Unatakiwa uwe makini na maendeleo au uboreshaji wa bidhaa zako. Ukizubaa mwengine akichukuwa fursa ambayo wewe umezembea kufuatilia, usilalame. Tatizo kubwa kwa wafanya biashara wengi ni wamiliki kufanya maamuzi yote bila ya kuwa na wataalam wa kufanya tafiti husika. Mwisho wa siku mfanyabiashara mwenye jopo la wataalam atakupiku tu, utake usitake. Kwa umaarufu wa Azania Brand hapa nchini na nchi jirani, ilipaswa Mikoani Traders watambue kwamba brand yao imevuka mipaka na inatumika huko, lakini wapi. Maamuzi anayo mtu mmoja wengine wote mnaagalia mdomo wake leo utasema nini ili mtekeleze. Alichofanya Bakressa ni kutumia fursa iliyojitokeza kwa precision ya hali juu.
Tofautisha kampuni yake na yeye mwenyewe