Recent content by Salimuwaziry

  1. Salimuwaziry

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    N'i,me ong,ea. k'ami,a jack yu"
  2. Salimuwaziry

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani cha ajabu ulishawahi kufanya ukiwa peke yako?

    Kipindi flani nikiwa umri wa 15 kijijin ...wakati nimeenda kuchunga ng'ombe enzi hzo ndy nanza anza kutumia sm ..nilikua nachezea cm mpkaka nikajisahau kama nachunga ng'ombe akaenda kula nyanya za watu ....saangap mwenyewe asione nikaanza kumkimbiza ng'ombe kumrudisha nyumba nilimpga Hadi...
  3. Salimuwaziry

    JamiiForums Tanzania Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

    Hapo nikufundishwa ujue moja jumlisha moja ni ngapi ...mambo ya kufanikiwa ni yako binafsi utapambana mwenyew ....unataka ufundishwe kufanikiwa wakati anae kufundisha mwenyew hana mafanikio...
  4. Salimuwaziry

    JamiiForums Tanzania Bangi si chai

    Jana nilivuta bangi ...nikakamata mbuzi Nika mchinja nikala.. cha ajabu asubuh mbuzi namkuta ila mbwa simuoni
  5. Salimuwaziry

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni ndugu zangu!

    Hi every one nafurah kua member naombeni tuwe pamoja asanten
  6. Salimuwaziry

    JamiiForums Tanzania Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

    Standard kwangu ni 30 everyday
Back
Top Bottom